MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Hivi unajua history ya mamayako!! kaanae umuulize vizuri!!Mungu hawezi batiki chama cha mashoga na wasagaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua history ya mamayako!! kaanae umuulize vizuri!!Mungu hawezi batiki chama cha mashoga na wasagaji
Wewe unayedhani VOA wanakaa kwenye simu yangu ndio mpumbavuHawa VOA walioko kwenye simu yako, ni wapumbavu Sana aisee!!
Kaka FUSO eeh!!kaka hizo ni data zilizopatikana kwa kuangalia hali halisi ya wagombea na kampeni zao, hasira za nini.
Niliwatukana hao VoA walioko kwenye simu yako, wewe mwenye simu sio mpumbavu, Ila ni mjinga Kwa kuruhusu upumbavu ufanyike kwenye simu yakoWewe unayedhani VOA wanakaa kwenye simu yangu ndio mpumbavu
Acha ujinga kura zinapigwa bila upendeleo hata wewe unaweza kwenda kuwapigia ccmNiliwatukana hao VoA walioko kwenye simu yako, wewe mwenye simu sio mpumbavu, Ila ni mjinga Kwa kuruhusu upumbavu ufanyike kwenye simu yako
Mkuu Sergei, nenda kakamilishe Kura zitazoishia 20% za mh Lissu, usipokwenda, zinashuka zaidiAcha ujinga kura zinapigwa bila upendeleo hata wewe unaweza kwenda kuwapigia ccm
Mgombea wa chama kile anamwogopa sana Tundu Lissu. Anafanya njama asifike Dar leo. Lakini Mungu mkubwa!Yule wa CCM atafungia wapi. Tetesi pesa za kusomba watu hakuna thus uenda asifunge
Ameni ameniMungu ibariki CHADEMA , Mungu mbariki Tundu Lissu
Atoe asitoe kibali kesho ni kura za hasira Hadi washindwe kuibaMgombea wa chama kile anamwogopa sana Tundu Lissu. Anafanya njama asifike Dar leo. Lakini Mungu mkubwa!
Sio Lisu sema Magu, akipata 10% itakua ajabuLissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
mtu anachukua nchi kesho we unaleta story za 2025Lissu ni kwa 2025 sahivi anaandaa njia tu!
Hii Hali ya hewa Hapa, inaujumbe mkubwa Sana Kwa kila mwenye mapenzi mema na Taifa letu,Kwa hiyo Lisu akisema tutaruka kwa nguvu yeye rubani? Dar hewa imechafuka kuna mvua na upepo wa kufa MTU halafu mbona kuna majimbo ya wagombea wabunge Dar hajaenda? wanakogimbea Dar mfano Suzan Lyimo mbona kawe anarudi Mara mbili wakati hajanadi mgombea ubunge wa ubungo na kinondoni?
Naona unatamani Sana kusikia Lissu anapata shida au hata kufa. Una asili ya uchawi.Kwa hiyo Lisu akisema tutaruka kwa nguvu yeye rubani? Dar hewa imechafuka kuna mvua na upepo wa kufa MTU halafu mbona kuna majimbo ya wagombea wabunge Dar hajaenda? wanakogombea Dar mfano Suzan Lyimo mbona kawe anarudi Mara mbili wakati hajanadi mgombea ubunge wa ubungo na kinondoni?
Takwinu zinaonyesha wazi kwamba Lissu ana ushindi wa asilimia 71 hadi hivi sasa.Hii Hali ya hewa Hapa, inaujumbe mkubwa Sana Kwa kila mwenye mapenzi mema na Taifa letu,
Huyu mgombea kakataliwa duniani na mbinguni pia
Tukampe JPM Kura zote Watanzania
Sawa mkuu, kesho ndo itadhihilika!Takwinu zinaonyesha wazi kwamba Lissu ana ushindi wa asilimia 71 hadi hivi sasa.