Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.
Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.
Maaskofu wanajipenda mkuu.Nafuatilia Misa takatifu ya kumwombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Wewe ni nani hata uhukumu? Wamesema marehemu alipewa mpako wa mwisho(sakramenti pamba)Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Tanzania hakuna kolona nasema uongo ndugu zangu?Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Ukitaka kuvaa barakoa ,Ni rais tuuuu......Tanzania hakuna kolona nasema uongo ndugu zangu?
Pengo alikuwepo acha urongo wewe!Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Huo ndiyo ukweli na ukweli utatuweka huru. Tuangalie tulipojikwaa tunyanyuke tuanze safari upya.Tanzania naona imegawanyika sana kwa kweli hakuna mshikamano hata kipindi hiki cha majonzi inabidi tuangalie tumejikwaa wapi...
Kwa Mungu wote tuna haki sawa, hakuna cha Rais wala nani. Pia ibada ya kifo chako kuongozwa na padri au askofu bado haitabadili uhalisia wa matendo yako pindi ulipokuwa hai.Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
wewe ni nani hata uhukumu? Wamesema marehemu alipewa mpako wa mwisho(sakramenti pamba)
chizi ww, kwani hawezi kuwa mbunge???? Attorney general ni mbunge wa wapi had aliteuliwa kushika ule wadhifaProfessa Musa Asad ni mwanachama wa ccm??ni mbunge wa wapi??tumieni akili zenu bhana,sio masaburi
Kwaresma?Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.