Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.

Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
 
Pamoja na hayo uliyosema walipaswa wawepo
Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kumwombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Maaskofu wanajipenda mkuu.

Chukua tahadhari kabla ya hatari!
 
Misa ya kitaifa watakuwepo maaskofu, pale ni parokiani kiongozi ni paroko
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Tanzania hakuna kolona nasema uongo ndugu zangu?
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Pengo alikuwepo acha urongo wewe!
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Kwa Mungu wote tuna haki sawa, hakuna cha Rais wala nani. Pia ibada ya kifo chako kuongozwa na padri au askofu bado haitabadili uhalisia wa matendo yako pindi ulipokuwa hai.

Tuendelee kutenda yaliyo mema tukiwa hai
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Kwaresma?
 
Back
Top Bottom