Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.
Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.