Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

Magufuli alikuwa mwamba kwa kweli haters wajiandae kwenda labour wakajifungue mimba za chuki!
 
Nyie watu mna matatizo ya akili sana

Kwa iyo magufuli ndo amejenga ilo daraja? Kivipi?

Pesa watoe wakorea alafu unaropoka tu Magufuli!

Vic has wakubwa nyie
Alisimamia nani hilo, mama kafanya lipi kubwa mpaka sasa
 
Pesa atoe mkorea, kujenga ajenge mkorea alafu hongera unatoa kwa magufuli
 
Alisimamia nani hilo, mama kafanya lipi kubwa mpaka sasa
Kama kusimamia ndo kumpa mtu sifa basi sifa apewe Samia maana Samia kaanza Urais March 2021 na kwa kipindi chake ndo sehemu kubwa ya daraja imejengwa hadi kumalizika!

Acheni ushamba wa kuabudu mizimu nyie
 
Tuhamie pale jangwani!mlala hoi gani atanufaika na white elephant hii!!
 
Kama kusimamia ndo kumpa mtu sifa basi sifa apewe Samia maana Samia kaanza Urais March 2021 na kwa kipindi chake ndo sehemu kubwa ya daraja imejengwa hadi kumalizika!

Acheni ukichaa na ushamba wa kuabudu mizimu nyie wajinga
Acheni chuki za kishamba idea ndio msingi wa mradi! Usimamizi ndio unafata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…