Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

Halafu wanatoa kisingizio cha kutangaza utalii huku wakijikosha kwa kusema wataweka muvi ya roho tua
jamani hivi mnatuonaje sisi watalii?
 
Yaani mtu upo Tunduru vijijini halafu unalalamikia daraja kufungwa.
Jumamosi ni wikendi hakuna foleni pia ni Siku ya kula bata kwahiyo tunaenda kula bata darajani.
Kama imeumia piga mbizi.
 
Halafu wanatoa kisingizio cha kutangaza utalii huku wakijikosha kwa kusema wataweka muvi ya roho tua
jamani hivi mnatuonaje sisi watalii?
Watumishi wanavyopenda kujipendekeza, walivyoambiwa royo tuwa, kama nawaona tena hakuna mtu aliye reason, siyo watu wa OSHA wala NEMC wala TANROADS, nahisi vibali viligongwa muhuri Kwa speed ya radi!
Ofisi zote! 😂 😂

Kila la heri!
 
Umenielewa lakini nilichomaanisha naomba usome vizuri alafu ifafanue hio sentence ndio utaelewa nilicho maanisha . Kiufupi tu sisi ni maskini lakini atutaki kujifunza kwa matajiri Jinsi ya kuwa serious dhidi ya miundombinu ya nchi na tunataka kuwa Kama matajiri lakini atutaki kuiga userious wao hao watajiri
 
Sio “hanasa“ na wewe. Wamekuambia “anasa”. Bado umekomaa na “hanasa”. Nyie vijana wa 2000 + mnaharibu kiswahili.
kwaiyo wew ndo umeona ilo kosa sio?
 
Wewe si mbunifu that's why umetoa hayo maoni yako ya kwenda mbugani
Tuombe Mungu watu wa aina yako wasiwe kwenye decision-making tables manake kama umeona huu ni ubunifu, una tatizo mahali!
 
Pamoja! Nime read between the lines!

Usemacho ni kweli kabisa!

Public open spaces, Leaders, Tanganyika Packers, Mbagala kule, stadiums Taifa Karume kupo!
Ila wameona Bora wafunge daraja, eti weekend hakuna foleni!

Wabongo wanywe mibia na kunya ovyo, watupe michupa ovyo, wakojoe kila mahali, ndiyo tutajua hatujui!
Mama yangu Tanzania..in Mbatiaz voice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…