Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

We jamaa acha nongwa mitaani tunafunga mitaa kwa kucheza rusha roho
 
Tuombe Mungu watu wa aina yako wasiwe kwenye decision-making tables manake kama umeona huu ni ubunifu, una tatizo mahali!
Hakuna mwenye anamiliki standard ya kufiikiria...kila mtu anauwezo wake katika kupambanua mambo..so usimuoverate au kumuunderate mwenzako...
 
We jamaa acha nongwa mitaani tunafunga mitaa kwa kucheza rusha roho
Mkiambiwa ukweli nongwa!
Event manager!
Event yenu ingeenda maeneo husika, viwanja vya michezo, maeneo ya wazi!

Mitaani! Gharama ya kutengeneza barabara shs30,000!
Mitaani kila mtu ni polisi jamii! Maana mtaa Una nyumba!
Na shughuli nyingi za rusha roho hazina pombe. Kiingilio macho na masikio!

Sijawahi kuona rusha roho Mtogole Sinza eti barabara ya lami imefungwa!
 
Awamu ya kula bata hii.

Watu pesa tunaokota barabarani.

Muda si mrefu nitawalipa mahela nisongee ugali hapo kati kati ya Daraja.

Na nitaitwa mwekezaji.
 
Ndio uone ujinga wa sie watanzania....mbona wao hawaonyeshi mechi zetu kwenye madaraja yao....alafu wakituita manyani tunalalamika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui watakunya wapi [emoji23][emoji23][emoji23] au ndio wataleta mobile toilet
 
Nilikuwa nasikia matangazo yao wanasema darajani,nikawa nahisi ni pale uwanja wa Chelsea,kumbe ni hapa bongo!,kwel huo ni ujinga
 
Basi tugeuze kibanda umiza mazima tuanze fanya harusi pia na mikutano ya adhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…