Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake


haya mkuu,inaonyesha unataka kusema hizo addiction zingine ziko less destructive na hivyo mtu kuchagua kutumia madawa ni maamuzi ya kijinga sababu madawa yako more destructive..

.sio kweli kuwa hizo addiction zingine ziko less destructive ,mfano Water inaweza kukuletea majanga kama utakunywa maji mengi in short time(water intoxication), food nayo kwa wingi nayo inaweza kuleta heart attack..etc

SAD,addiction is a process,one become addict not overnight but for a period/time,ndio maana hatujui mtu kwa mfano kama mwanamuziki Darasa anatumia madawa mpaka tumuone aki behave strangely in which case its too late sababu inakua atakua tayari ameshayatumia kwa muda….

halafu usiseme 'kapenda'...you have never been in his shoes and understand his daily struggle..


hizo unazoziita sababu zisizo na mashiko,ndizo hizo hizo zinazokuwa overlooked na mtu hapati msaada….mie nimefikiria kuwa msaada wa kitabibu inawezekana ni vigumu,ila tunaweza kwa pamoja kuishauri familia yake..

binafsi,sio mtaalam wa mambo haya,ila nafikiri,KUONDOA vitu vyote ambavyo vina act as reinforcers for him to seek self stimulation itakuwa first step...
 
Mi nina adiction ya kutafuta hela, is it bad too? (Warning: Sijasema nina hela)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
darasa ni kwamba kazidisha dozi tu...ila kama ni unga tu tangu zamani alikuwa anasnif....bange na pombe kwa sana

kwa waliowahi kukutana na kuongea naye jamaa watakubaliana na haya maneno yangu

kitambo jamaa anatumia hayo mavitu sema tu sijui nn kilimponza akajiongezea dozi
 
Aiseee" lakini mbona jamaa alianzaga kitambo tu" kabla hajawa juu ya tasnia kimafanikio" baada ya mafanikio kuja ndio gari rasmi likawaka
 
mshikaji mbona ni teja kitambo yule ".... acheni kutaka kutafuta public sympathy" labda uniambie kuwa jamaa walikuwa wanamuongezea dose" kinyume na hapo nitkuwa wa mwisho kuamini
 
dose kajiongezea baada ya mkwanja kwenye acc kuongezeka " wakati hana hela alikuwa kama anagongea tu"".... BIG aliwahi kusema more money more problems
 
dose kajiongezea baada ya mkwanja kwenye acc kuongezeka " wakati hana hela alikuwa kama anagongea tu"".... BIG aliwahi kusema more money more problems

kweli kabisa mkwanja umekuja na matatizo juu...


speaking of BIG na madawa nimekumbuka track moja ya BIG inaitwa 10 crack commandments

humo ndani anaongelea mambo 10 ya kufanya ili ufanikiwe kwenye biashara ya madawa na hizo commandments zinaaply sehemu nyingi sana... itafute hyo mkuu ule madini
 
hiyo" naitafuta mkuu" asante kwa hizo nondo
 
Mbona hata sura ya jamaa ilionyesha kua ni junkie? Since day one.

Labda sasa hivi ndiyo chuma kimepata moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…