Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
naona hapaguswi kabisa ilhali vituo vimekamilikaTupeni siri, nasikia pale kigogo round about kwenda ilala boma kina mazinga ombwe ndio mana hamkigusi,siku zinaenda sasa mtafanyaje?
Ohoo wanga mpaka mchana?Tupeni siri, nasikia pale kigogo round about kwenda ilala boma kina mazinga ombwe ndio mana hamkigusi,siku zinaenda sasa mtafanyaje?
unamaanisha nini mkuu? sio kupita tu bali tumo humu muda wote.DART huwa mnapita humu?
Kwamba mpo muda wote [emoji2]unamaanisha nini mkuu? sio kupita tu bali tumo humu muda wote.
Mnayafanyia kazi haya maoni?unamaanisha nini mkuu? sio kupita tu bali tumo humu muda wote.
Mwezi Oktoba mkandarasi anatukabidhi mradi ukiwa umekamilika baada ya hapo tutatoa taarifa ya lini wananchi wa Mbagala wategemee kuanza kwa huduma.Ni lini mtaanza rasmi route ya mbagala hali ni mbaya Sana ya foleni, tafadhalini Kama inawezekana basi na ianze jkama dharula kwa kuwa hali ni mbaya
Mwenyeezi mungu ajaalie hivyo maana usafiri imekuwa ni changamoto Sana.Mwezi Oktoba mkandarasi anatukabidhi mradi ukiwa umekamilika baada ya hapo tutatoa taarifa ya lini wananchi wa Mbagala wategemee kuanza kwa huduma.
Huu ndiyo ukweli!!Kwa hiyo DART mnachagua maswali na maoni ya wateja ingawanyana hoja ndani yake?