DART Mwendokasi
Official Account
- May 17, 2023
- 92
- 121
- Thread starter
-
- #461
Tumelichukua suala lako na tumeshalifanyia kaziMimi naona changamoto pale Mbezi Louis. Wake askari hawafanyi kazi sawasawa, hawaangalii mistari ya abiria mpaka inavurugika ndo utawaona na pia hawana kauli nzuri ya huduma kwa wateja. Pili naona ni muda muafaka wa kurudisha kadi na Sisi tuwe tunachanja maana tumezidiwa na TERESA wao wana kadi kwenye vivuko vya kigamboni
Mbwa mwitu nyie , Mabasi yako wapi watu tunabanwa hadi tunatoa haja kwenye gari zenu ,ujinga tuuu ndio mnajuaga shubaaaamiittttttiiii zenu.
Mwache apate hela na yeye mia saba hamsini ni pesa ndogo kuona unapigwa wakati utapanda basi nakufika uendako hakuna kilichoharibikaHuu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu mwingine (angalia hiyo mikunjo) .
Alichofanya jamaa baada ya kumpa pesa na kunirudishia chenji, hii tiketi aliitoa kule anapoweka tiketi kwa chini hivi kisha akaichana (akaendelezea kuichana kwani ilishachanwa hapo kabla baada ya kukaguliwa kwa mteja wa kwanza). Yule jamaa wa pale getini kwa makusudi anakuwa ile mashine ya ku_scan ameificha( alikuwepo amekaa busy na simu). Baada ya kugundua hilo nimefikiria sana nikam_confront yule jamaa nikaona niachane naye tu. Ila wanawarudisha nyuma.
Mwache ale kwa urefu wa kamba yake ata akiiba sana awezi zidi 30k maana hesabu zao za siku hazipishani sana maana wasafiri ni wale wale kila sikuHuu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu mwingine (angalia hiyo mikunjo) .
Alichofanya jamaa baada ya kumpa pesa na kunirudishia chenji, hii tiketi aliitoa kule anapoweka tiketi kwa chini hivi kisha akaichana (akaendelezea kuichana kwani ilishachanwa hapo kabla baada ya kukaguliwa kwa mteja wa kwanza). Yule jamaa wa pale getini kwa makusudi anakuwa ile mashine ya ku_scan ameificha( alikuwepo amekaa busy na simu). Baada ya kugundua hilo nimefikiria sana nikam_confront yule jamaa nikaona niachane naye tu. Ila wanawarudisha nyuma.
Huyo na wengine nao wakifanya vivyo hivyo ni mapato mengi yanapotea. Mwisho kampuni inakosa pesa hata ya kununua vipuri vidogo vidogo TU . Madhara yake idadi ya gari zinazolala bila kufanya kazi inaongezeka na abiria ndio tunaoumia.Mwache ale kwa urefu wa kamba yake ata akiiba sana awezi zidi 30k maana hesabu zao za siku hazipishani sana maana wasafiri ni wale wale kila siku
Unadhani mia saba hamsini ngapi zinapigwa na wenzake pia!? Kwa siku Kwa mwezi na kwa mwaka hiyo Sio pesa ndogo. Unadharau hiyo pesa wakati hata Kwa mwaka mzima hujawahi kuokota hata mia barabarani! Acha mzaha Aisee! Kampuni inapoyumba kimapato ni abiria wanaoumia. Ndio maana ya umuhimu wa kutengeneza mifumo, amini Leo hii zikitengenezwa kadi TU za kulipia mapato yataongezeka mno. Imagine Watu walikuwa wanaiba mia mbili pale Kivukoni kwenda Kigamboni Kwa Pantoni, wewe unadharau 750!Mwache apate hela na yeye mia saba hamsini ni pesa ndogo kuona unapigwa wakati utapanda basi nakufika uendako hakuna kilichoharibika
Hakuna mtu asiyefahamu hilo ndani ya hilo shirika, no wonder chain ni ndefu ndo maana mpaka sasa hawatumii mfumo rasmi wa malipo bila cash, still entertaining cash payments. Control no ilianzishwa kudhibiti hii mianya. Hawa tangu wameanzisha card mpk leo wangekuwa na nia thabiti tungeshasahau cash payments. Hata kama sio kwa card bado njia za malipo zipo nyingi tu. Inasikitisha sana, wanaletwa viongozi hapo wanatolewa since then mpk sasa but no any advancement imagine hata kwa jambo dogo kama hilo, leo tunashangaa tulioyashangaa ages ago!Huu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu mwingine (angalia hiyo mikunjo) .
Alichofanya jamaa baada ya kumpa pesa na kunirudishia chenji, hii tiketi aliitoa kule anapoweka tiketi kwa chini hivi kisha akaichana (akaendelezea kuichana kwani ilishachanwa hapo kabla baada ya kukaguliwa kwa mteja wa kwanza). Yule jamaa wa pale getini kwa makusudi anakuwa ile mashine ya ku_scan ameificha( alikuwepo amekaa busy na simu). Baada ya kugundua hilo nimefikiria sana nikam_confront yule jamaa nikaona niachane naye tu. Ila wanawarudisha nyuma.
Hata zikipatikana mapato faida ya wakubwa heri tu wale kodi zetu zipo na mikopo inakopwa kila siku itapata kazi huko ifanyeHuyo na wengine nao wakifanya vivyo hivyo ni mapato mengi yanapotea. Mwisho kampuni inakosa pesa hata ya kununua vipuri vidogo vidogo TU . Madhara yake idadi ya gari zinazolala bila kufanya kazi inaongezeka na abiria ndio tunaoumia.
tunawapongeza kwa kusuasua kwa huduma zenu na sasa LATRA taratibu wanarudish DALADALA zote jijini.View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Muarabu anakuja kufanya kweli, vilio sasa basiShirika lishajichokea, Unasimama kituoni masaa mawili unasubiri gari na hapo bado linapita limejaa. Serikali leteni private investors wasaidiane na Dart. Wananchi tunateseka Dart wameshindwa kazi
Mpaka huyo muwekezaji aje sio Leo. Suluhisho daladala ziruhusiwe kwa muda zipige Kazi mpaka Hawa wajipange kwanza.Muarabu anakuja kufanya kweli, vilio sasa basi