MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Hizi basi mpya zinaanza kazi lini? Abiria wanateseka mabasi machache! Tusubirie hadi lini?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yako wapi hayo mabasi?Hizi basi mpya zinaanza kazi lini? Abaria wanateseka mabasi machache! Tusubirie hadi lini?????
Kaka unajua huo mradi ni city transport si mabasi ya mkoaniLini mtaanza route za mikoa? Dar Mwanza. Nahisi mkianzisha hizi route nauli itakua chee.
kwanza, pelekeni watu wakajifunze nchi za ulaya namna ya kuendesha hayo mabasi, pia muagize mabasi bora sio hayo ya kichina yanayokufa mapema. ongezeni mabasi, watu wanajazana hadi wanataka kufa kwa uchache wa mabasi na wanakaa sana vituoni. mkishindwa, mpeni mzungu aendeshe, mwarabu hawezi.1. Gari chache sana saaaana mnakera. Sijui mnazipark vituoni au?
2. Kuna madereva wanajiona Miungu watu wanapita na "Out of Service" yaani.
3. Vingine mnajitahidi. Hope mtaboreka zaidi.
mnaibiwa sana, lakini kwasababu viongozi wa dart wanakula na hao vijana, ndio maana mpo kimya. mkitaka kuweza, kwanza ajirini hao askari wa JKT milangoni wawe wakagua ticket, pili, wekeni ticket za kielectronic za card, mtu anunue hata ya mwezi ila anaigusisha kwenye mashine ya mlangoni pale kama mamtoni ndio anaingia kama ina salio, mkifanya hivyo, mtakusanya salio refu sana, kwa siku au kwa mwezi na mtapata pesa nzuri ya kununua mabasi bora na mengi. mradi wenu ni mzuri ila mnashindwa kuuendesha kwasababu ya ushamba, hamtaki kujifunza kwa waliowatangulia.View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Jamani yalipoanzia tu hayajatosha,sasa wewe mwanza tene?Asante kwa kuja.
Ni lini hayo mabasi mtayapeleka Mwanza pia ili wananchi wapate huduma ya usafiri..??
Sababu jiji la Mwanza limekua na tayari limechangamka na mkituletea hizo Bus zikaanzia route ya Kisesa, Igoma, Neshno, Buzuruga, Mabatini, Nata, Pepsi, Mkuyuni, Nyegezi, Buhongwa, Nyashishi hadi Usagara and Return.
Hakuna asependa ela ni waweke mfumo usiowezs iba kirahismnaibiwa sana, lakini kwasababu viongozi wa dart wanakula na hao vijana, ndio maana mpo kimya. mkitaka kuweza, kwanza ajirini hao askari wa JKT milangoni wawe wakagua ticket, pili, wekeni ticket za kielectronic za card, mtu anunue hata ya mwezi ila anaigusisha kwenye mashine ya mlangoni pale kama mamtoni ndio anaingia kama ina salio, mkifanya hivyo, mtakusanya salio refu sana, kwa siku au kwa mwezi na mtapata pesa nzuri ya kununua mabasi bora na mengi. mradi wenu ni mzuri ila mnashindwa kuuendesha kwasababu ya ushamba, hamtaki kujifunza kwa waliowatangulia.
dart kinachosumbua, ni upigaji, hakuna kingine. wakipata muarobaini kwa hilo, pesa watapata, watendaji waadilifu watakuwepo, na magari mapya mengi watanunua. kwa sasa hakuna usafiri wa shida kama wa dart, hata daladala za kawaida zile zinazozunguka zina starehe kuliko dart.KWELI hii kazi mmezidiwa ila hamkati tamaa gari kituo cha Kariakoo B kusubiri zaidi ya dk 30 bado mlango mmoja wa kikatia tiketi umefungwa wakati ndicho kituo chenye population kubwa?
Mungu tusaidie sana
Mjini kwenyewe tu wameshindwa ije iwe kwenda mikoani? Hebu tusiwape kazi wasizoweza!Fikisheno mabasi
Dar hadi chalinze
Dar hadi Bagamoyo hadi msata
Dar hadi kisarawe.
It's possible play your part these places is connected already
mwanza hakuna barabaraAsante kwa kuja.
Ni lini hayo mabasi mtayapeleka Mwanza pia ili wananchi wapate huduma ya usafiri..??
Sababu jiji la Mwanza limekua na tayari limechangamka na mkituletea hizo Bus zikaanzia route ya Kisesa, Igoma, Neshno, Buzuruga, Mabatini, Nata, Pepsi, Mkuyuni, Nyegezi, Buhongwa, Nyashishi hadi Usagara and Return.
Kuna nini..??mwanza hakuna barabara