fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
hakuna barabara zinazofaa mabasi ya mwendokasi,uwe unaelewa wewe chakubangaKuna nini..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna barabara zinazofaa mabasi ya mwendokasi,uwe unaelewa wewe chakubangaKuna nini..??
Uvivu ni uongo ,labda hayoengine ya wiziWatanzania hatuwezi kuendesha chochote.
Kwa uchache, Watanzania noi wavivu, wezi, wazembe, waongo, wajinga.
Mpaka tumefikia kiwango cha kujiibia na kujidanganya wenyewe.
Sometimes muwe mnasoma hata historia, sio unakuja mjini Dar umekuta mwendo kasi ukadhani barabara zilikuwepo kabla ya UDART.hakuna barabara zinazofaa mabasi ya mwendokasi,uwe unaelewa wewe chakubanga
nahisi umebanwa maviSometimes muwe mnasoma hata historia, sio unakuja mjini Dar umekuta mwendo kasi ukadhani barabara zilikuwepo kabla ya UDART.
Kwa tafsiri hiyo, hata Mwanza wakiamua kuweka pia watalazimika kujenga barabara pia.
Huwezi kuzungumza kitu bila kumtaja mama?Tumezindua huduma ya Kadi Janja kwenye njia zetu kuu (Trunk ) tunaomba mchangamkie kununua kadi janja kwa Tsh 5000 tu, kadi yetu ni ya muda wote haina muda wa ukomo expire date, hii ni mwarobaini wa tatizo la chenji lililokua likisumbua abiria wetu kwa muda mrefu pamoja na kudhibiti uvujaji wa mapato ya serikali, aidha kwa njia mlishi (Feeder) huduma hiyo itaanza mara baada ya kukamilika kwa miundombinu ya mifumo ya kidijitali. Pia tuendelee kupakua Application ya Mwendokasi App ili kurahisisha ukataji wa tiketi kidijitali. Wakati huo huo tunaendelea kukamilisha taratibu za kuongeza idadi ya Mabasi yetu ili kuboresha huduma, kaeni mkao wa kula Mama Yuko kazini Yajayo yanafurahisha. Kwa maelezo zaidi Piga namba yetu ya Bure kituo cha Huduma kwa wateja DART 0800110147.
hakuna barabara zinazofaa mabasi ya mwendokasi,uwe unaelewa wewe chakubanga
Sometimes muwe mnasoma hata historia, sio unakuja mjini Dar umekuta mwendo kasi ukadhani barabara zilikuwepo kabla ya UDART.
Kwa tafsiri hiyo, hata Mwanza wakiamua kuweka pia watalazimika kujenga barabara pia.
Samahani kama nitakuwa nawaingilia kinyume cha mau...Oh oh, I'm sorry, I mean kinyume cha maongezi yenu.nahisi umebanwa mavi
Nyie hamjielewi bwana! Kampuni inakuwa ya kipuuzipuuzi sijui kwa nini! Hivi inakuwaje njia zenye watu wengi mnashindwa kuweka mabasi mengi muda wa jioni? Unakuta basi refu linapelekwa Kivukoni kutoka Morocco wakati kuna abiria wengi. Tumieni akili vizuri aisee!Tumezindua huduma ya Kadi Janja kwenye njia zetu kuu (Trunk ) tunaomba mchangamkie kununua kadi janja kwa Tsh 5000 tu, kadi yetu ni ya muda wote haina muda wa ukomo expire date, hii ni mwarobaini wa tatizo la chenji lililokua likisumbua abiria wetu kwa muda mrefu pamoja na kudhibiti uvujaji wa mapato ya serikali, aidha kwa njia mlishi (Feeder) huduma hiyo itaanza mara baada ya kukamilika kwa miundombinu ya mifumo ya kidijitali. Pia tuendelee kupakua Application ya Mwendokasi App ili kurahisisha ukataji wa tiketi kidijitali. Wakati huo huo tunaendelea kukamilisha taratibu za kuongeza idadi ya Mabasi yetu ili kuboresha huduma, kaeni mkao wa kula Mama Yuko kazini Yajayo yanafurahisha. Kwa maelezo zaidi Piga namba yetu ya Bure kituo cha Huduma kwa wateja DART 0800110147.
kuna ubaya kumtaja?Huwezi kuzungumza kitu bila kumtaja mama?
Kadi za mwanzoni mlizipeleka wapi nyieTumezindua huduma ya Kadi Janja kwenye njia zetu kuu (Trunk ) tunaomba mchangamkie kununua kadi janja kwa Tsh 5000 tu, kadi yetu ni ya muda wote haina muda wa ukomo expire date, hii ni mwarobaini wa tatizo la chenji lililokua likisumbua abiria wetu kwa muda mrefu pamoja na kudhibiti uvujaji wa mapato ya serikali, aidha kwa njia mlishi (Feeder) huduma hiyo itaanza mara baada ya kukamilika kwa miundombinu ya mifumo ya kidijitali. Pia tuendelee kupakua Application ya Mwendokasi App ili kurahisisha ukataji wa tiketi kidijitali. Wakati huo huo tunaendelea kukamilisha taratibu za kuongeza idadi ya Mabasi yetu ili kuboresha huduma, kaeni mkao wa kula Mama Yuko kazini Yajayo yanafurahisha. Kwa maelezo zaidi Piga namba yetu ya Bure kituo cha Huduma kwa wateja DART 0800110147.
Tumezindua huduma ya Kadi Janja kwenye njia zetu kuu (Trunk ) tunaomba mchangamkie kununua kadi janja kwa Tsh 5000 tu, kadi yetu ni ya muda wote haina muda wa ukomo expire date, hii ni mwarobaini wa tatizo la chenji lililokua likisumbua abiria wetu kwa muda mrefu pamoja na kudhibiti uvujaji wa mapato ya serikali, aidha kwa njia mlishi (Feeder) huduma hiyo itaanza mara baada ya kukamilika kwa miundombinu ya mifumo ya kidijitali. Pia tuendelee kupakua Application ya Mwendokasi App ili kurahisisha ukataji wa tiketi kidijitali. Wakati huo huo tunaendelea kukamilisha taratibu za kuongeza idadi ya Mabasi yetu ili kuboresha huduma, kaeni mkao wa kula Mama Yuko kazini Yajayo yanafurahisha. Kwa maelezo zaidi Piga namba yetu ya Bure kituo cha Huduma kwa wateja DART 0800110147.
Hichi kitu kina kera sana pale gerezani, yaani wanaona abiria mpo mmejazana ila kila basi linaloingia wanapaki au mengine yanapita hayana abiria sijui huwa wanayapeleka wapi magari yasiokua na abiria. Hivi huwa hawana viongozi? Mana ni kama vile huwa wanajiamulia tu chakufanya.Kutumia jina la mama kwenye huduma mbovu ni kumdhalilisha
Sema mko kazini sio mama yupo kazini
Hivi why mnashindwa kuweka mabasi yawe yanasubiri wateja wakijaa linaondoka?
Mnasikia Raha gani kupaki mabasi pembeni then watu wanafika 200 then ndio mnakuja watu wanagombania wanavunjika miguu na simu zao kupasuka, ?
Maswali yapi uliuliza hukujibiwa? tuna njia mbaimbali za kupokea maoni na maswali wakati mwingine tumia namba ya bure ya kituo chetu cha miito ya simu Call center ya 0800110147 kwa msaada wa haraka.Kwa nini hamujibu maswali?
Niliuliza mustakbali wa malipo ya fidia kupisha ujenzi wa BRT phase 5.Maswali yapi uliuliza hukujibiwa? tuna njia mbaimbali za kupokea maoni na maswali wakati mwingine tumia namba ya bure ya kituo chetu cha miito ya simu Call center ya 0800110147 kwa msaada wa haraka.
Niliuliza mustakbali wa malipo ya fidia kupisha ujenzi wa BRT phase 5.