DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

Mimi naona changamoto pale Mbezi Louis. Wake askari hawafanyi kazi sawasawa, hawaangalii mistari ya abiria mpaka inavurugika ndo utawaona na pia hawana kauli nzuri ya huduma kwa wateja. Pili naona ni muda muafaka wa kurudisha kadi na Sisi tuwe tunachanja maana tumezidiwa na TERESA wao wana kadi kwenye vivuko vya kigamboni
Tumelichukua suala lako na tumeshalifanyia kazi
 
PHOTO-2024-03-08-09-38-12.jpg
 
Ruhusuni wananchi wawekeze kwenye huo mradi, Serikali ifanye regulatory roles tu.
  • Standard za mabasi zinafahamika, qualities za drivers etc, one must meet all standards kupewa route.
  • Mtu either awe na bus moja, mawili, kumi so long as amemeet standards anaweza kusajiliwa. Huyo UDART anaweza kuwa among other investors kama hao wengine awe challenged na PPP ndo atakuwa serious, aongeze ubora, ubunifu na tija ktk huduma.
  • Mfumo wa malipo ya nauli uwe e-malipo kupitia app au USSD hapo hapo serikali ipate tozo yake nyingine ibaki kwa mwekezaji.
(Kila bus linafungwa mfumo wa kuswipe card mlangoni) au abiria anaweza kulipa simply kwa simu tu, mfano hapo Kenya tu nauli ya matatu unalipa na mpesa (au cash) but mostly wanalipa tu kwa simu kila bus limebandikwa Till. No. Ndani.
- Serikali kupitia DART ifanye serious monitoring kwa njia za kisasa kama tunavyoona nchi za wenzetu, u get to the app inakuonyesha next bus bound to your destination linakuja muda gani na exactly inakuwa hivyo.
Nb: Tutumie tech kurahisisha maisha, fedha iliyotumika ktk huo mradi ni nyingi sana but hauna impact kwa mwananchi sababu tunauendesha kienyeji while we have all resources kuudigitalize worthful.
 
Huu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu mwingine (angalia hiyo mikunjo) .

Alichofanya jamaa baada ya kumpa pesa na kunirudishia chenji, hii tiketi aliitoa kule anapoweka tiketi kwa chini hivi kisha akaichana (akaendelezea kuichana kwani ilishachanwa hapo kabla baada ya kukaguliwa kwa mteja wa kwanza). Yule jamaa wa pale getini kwa makusudi anakuwa ile mashine ya ku_scan ameificha( alikuwepo amekaa busy na simu). Baada ya kugundua hilo nimefikiria sana nikam_confront yule jamaa nikaona niachane naye tu. Ila wanawarudisha nyuma.
 
Attachments

  • IMG_20240317_112709_7.jpg
    IMG_20240317_112709_7.jpg
    3.2 MB · Views: 15
Huu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu mwingine (angalia hiyo mikunjo) .

Alichofanya jamaa baada ya kumpa pesa na kunirudishia chenji, hii tiketi aliitoa kule anapoweka tiketi kwa chini hivi kisha akaichana (akaendelezea kuichana kwani ilishachanwa hapo kabla baada ya kukaguliwa kwa mteja wa kwanza). Yule jamaa wa pale getini kwa makusudi anakuwa ile mashine ya ku_scan ameificha( alikuwepo amekaa busy na simu). Baada ya kugundua hilo nimefikiria sana nikam_confront yule jamaa nikaona niachane naye tu. Ila wanawarudisha nyuma.
Mwache apate hela na yeye mia saba hamsini ni pesa ndogo kuona unapigwa wakati utapanda basi nakufika uendako hakuna kilichoharibika
 
Mwache ale kwa urefu wa kamba yake ata akiiba sana awezi zidi 30k maana hesabu zao za siku hazipishani sana maana wasafiri ni wale wale kila siku
 
Huyo na wengine nao wakifanya vivyo hivyo ni mapato mengi yanapotea. Mwisho kampuni inakosa pesa hata ya kununua vipuri vidogo vidogo TU . Madhara yake idadi ya gari zinazolala bila kufanya kazi inaongezeka na abiria ndio tunaoumia.
 
Mwache apate hela na yeye mia saba hamsini ni pesa ndogo kuona unapigwa wakati utapanda basi nakufika uendako hakuna kilichoharibika
Unadhani mia saba hamsini ngapi zinapigwa na wenzake pia!? Kwa siku Kwa mwezi na kwa mwaka hiyo Sio pesa ndogo. Unadharau hiyo pesa wakati hata Kwa mwaka mzima hujawahi kuokota hata mia barabarani! Acha mzaha Aisee! Kampuni inapoyumba kimapato ni abiria wanaoumia. Ndio maana ya umuhimu wa kutengeneza mifumo, amini Leo hii zikitengenezwa kadi TU za kulipia mapato yataongezeka mno. Imagine Watu walikuwa wanaiba mia mbili pale Kivukoni kwenda Kigamboni Kwa Pantoni, wewe unadharau 750!
 
Huu ndio upigaji wanaofanya hawa wafanyakazi wenu wakatisha tiketi. Jana Jumamosi nimeingia kituoni saa 12:50 Jioni pale Posta Ya Zamani dirisha linaloangalia Kanisani KKKT. Sasa jamaa wa dirishani kanipa hii tiketi ambayo kwa kuangalia muda TU ni wazi ilisha_expire na ilishatumika na mtu mwingine (angalia hiyo mikunjo) .

Alichofanya jamaa baada ya kumpa pesa na kunirudishia chenji, hii tiketi aliitoa kule anapoweka tiketi kwa chini hivi kisha akaichana (akaendelezea kuichana kwani ilishachanwa hapo kabla baada ya kukaguliwa kwa mteja wa kwanza). Yule jamaa wa pale getini kwa makusudi anakuwa ile mashine ya ku_scan ameificha( alikuwepo amekaa busy na simu). Baada ya kugundua hilo nimefikiria sana nikam_confront yule jamaa nikaona niachane naye tu. Ila wanawarudisha nyuma.
Hakuna mtu asiyefahamu hilo ndani ya hilo shirika, no wonder chain ni ndefu ndo maana mpaka sasa hawatumii mfumo rasmi wa malipo bila cash, still entertaining cash payments. Control no ilianzishwa kudhibiti hii mianya. Hawa tangu wameanzisha card mpk leo wangekuwa na nia thabiti tungeshasahau cash payments. Hata kama sio kwa card bado njia za malipo zipo nyingi tu. Inasikitisha sana, wanaletwa viongozi hapo wanatolewa since then mpk sasa but no any advancement imagine hata kwa jambo dogo kama hilo, leo tunashangaa tulioyashangaa ages ago!
 
Huyo na wengine nao wakifanya vivyo hivyo ni mapato mengi yanapotea. Mwisho kampuni inakosa pesa hata ya kununua vipuri vidogo vidogo TU . Madhara yake idadi ya gari zinazolala bila kufanya kazi inaongezeka na abiria ndio tunaoumia.
Hata zikipatikana mapato faida ya wakubwa heri tu wale kodi zetu zipo na mikopo inakopwa kila siku itapata kazi huko ifanye
 
madaladala mengi ya wakubwa ndiyo sorce ya hujuma ili wapige pesa, fanyeni hivi wauzieni yote ikibidi kila mmoja aweke nembo yake musiajiri madereva wala makondactor ninyi tozeni kodi kwa kila basi kwamwezi, siyo rahisi kwa mtazamo wa biashara ya kidunia serikali kufanya biashara mabasi ambayo yana uwezo wa kuishi kwa miaka 10 miaka 3 tukwishinei ni hujuma. haitahitaji mkurugenzi au mhasibu itahitaji TRA tu kukushanya kodi
 
Huu utaratibu mpya mliouanzisha hapo Kimara Mwisho umeongeza vurugu kituoni . Mstari wa watu wa Gerezani kuurudisha nyuma umesababisha mrundikano mkubwa sana wa abiria wa Gerezani na Kivukoni kiasi cha abiria wa Kivukoni kushindwa kabisa kuingia ndani ya mabasi kwa utaratibu kama hapo mwanzo.

Mstari wa Gerezani ungebaki kulekule mwanzoni na huo wa Morocco ndio ungekuwa katikati na ule wa Kivukoni pale pale. Morocco abiria wake si wengi sana kama Gerezani na Kivukoni. Hii ingepunguza wale abiria wanaotoka kwenye mstari wa Gerezani kulazimisha kupanda Tena gari za Kivukoni na kulazimisha kuingia bila kufuata ule mstari.

Fanyeni hivyo, otherwise abiria watazidi kuumizana, kuibiana na kupoteza vitu hasa viatu
 
View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.

Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku

Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania

Barua pepe: info@dart.go.tz.

#usafiri wa umma nadhifu

#mwendokasi app
tunawapongeza kwa kusuasua kwa huduma zenu na sasa LATRA taratibu wanarudish DALADALA zote jijini.
 
Shirika lishajichokea, Unasimama kituoni masaa mawili unasubiri gari na hapo bado linapita limejaa. Serikali leteni private investors wasaidiane na Dart. Wananchi tunateseka Dart wameshindwa kazi
 
Vp wakuu kimya sana, naskia mnataka kuwa wakusanyaji mapato tu ni kweli?
 
Shirika lishajichokea, Unasimama kituoni masaa mawili unasubiri gari na hapo bado linapita limejaa. Serikali leteni private investors wasaidiane na Dart. Wananchi tunateseka Dart wameshindwa kazi
Muarabu anakuja kufanya kweli, vilio sasa basi
 
Mpaka huyo muwekezaji aje sio Leo. Suluhisho daladala ziruhusiwe kwa muda zipige Kazi mpaka Hawa wajipange kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom