Slow learner
Member
- Jul 6, 2019
- 18
- 8
Hawa walisema wameingia Mkataba na Emmirates Group Limited tangu 2021 mzew Baba alivyoacha jamaa walete Mabasi yao sasa imekuwa kila siku danadana na mara kila simu mikataba mipya na hii ji mara ya tatu yokea wanasaini mikataba na hao jamaa. Sijui ndio wanasubilia uchaguzi waje waseme tumeamua kuwaleta watu ili kura zipatikane.Bila support yangu kama mshauri hamtoboi.
Fikisheno mabasiView attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Lini wameanza kuogopa wapiga kura, wakati mwenyekiti wa tume anawatangaza TU washindi hata kama hawajachaguliwa!?Hawa walisema wameingia Mkataba na Emmirates Group Limited tangu 2021 mzew Baba alivyoacha jamaa walete Mabasi yao sasa imekuwa kila siku danadana na mara kila simu mikataba mipya na hii ji mara ya tatu yokea wanasaini mikataba na hao jamaa. Sijui ndio wanasubilia uchaguzi waje waseme tumeamua kuwaleta watu ili kura zipatikane.
Mwambieni Mama huu muda wote watu wanaumia na wanamachungu na hata uchaguzi ukifika kwa ufahamu wa wananchi bado watu watakuwa na kinyongo kutia saini katika kile kidubwasha
Mama amefanya mambo makubwa hakuna rais aliyefanya toka tupate uhuru lakini Magari hamjaweka mabango ya rais.View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Asee ata mimi uwa nawashangaa sana na uwa nabaki najiuliza huyu mtu anatoka kimara mpaka Posta bus tupu halina abria anatumia mafuta au maji,hayo mafuta hesabu yao uwa ikoje?Wekeni hayo mabasi yenu AIC maana madirisha Huwa madogo na watu wanakuwa wengi sana jambo ambalo ni hatari.
Hafu kingine kwanini mabasi yenu mengine hupita vituoni matupu bila kusimama au kuchukua abiria hamuoni mnafanya biashara kichaa
Bila picha ni uongoKazi iendelee, Leo tarehe 22/4/2024 shehena kubwa ya Mageti Janja (smart gates) kwa ajili ya kufunga vituoni ili kufungamanisha na mfumo wa matumizi ya kadi janja (smart cards), inaendelea kushushwa pale Gerezani, watumiaji wa Mabasi Yaendayo Haraka muendelee kuwa na imani na Serikali yenu, changamoto zote za Mradi wenu zinaendelea kutatuliwa kwa awamu, kuhusu kuongeza Mabasi kaeni mkao wa kula kuna jambo tutawaarifu muda sio mrefu.
Kwa kweli wabongo Imani imetutoka kabisa!!Bila picha ni uongo
Hizo card hakikisheni ni N card sawa na za Taifa, na Kivukoni. Msije kuja na kadi zenu binafsi. Mzigo. Imagine na Magufuli stendi wakaja na kazi zao.Kazi iendelee, Leo tarehe 22/4/2024 shehena kubwa ya Mageti Janja (smart gates) kwa ajili ya kufunga vituoni ili kufungamanisha na mfumo wa matumizi ya kadi janja (smart cards), inaendelea kushushwa pale Gerezani, watumiaji wa Mabasi Yaendayo Haraka muendelee kuwa na imani na Serikali yenu, changamoto zote za Mradi wenu zinaendelea kutatuliwa kwa awamu, kuhusu kuongeza Mabasi kaeni mkao wa kula kuna jambo tutawaarifu muda sio mrefu.
Kadi ya DART ndani yake ina uwezo wa kuandika taarifa za makampuni zaidi ya 10 hivyo ni suala la muda tu kinachofanyika ni ku syncronize na huduma nyingine tu na mambo yanakwenda hakuna haja ya kubeba lundo la kadi wataalam wetu waliliona hilo, yetu ni multipurpose.Hizo card hakikisheni ni N card sawa na za Taifa, na Kivukoni. Msije kuja na kadi zenu binafsi. Mzigo. Imagine na Magufuli stendi wakaja na kazi zao.
AIC, DaaaaahWekeni hayo mabasi yenu AIC maana madirisha Huwa madogo na watu wanakuwa wengi sana jambo ambalo ni hatari.
Hafu kingine kwanini mabasi yenu mengine hupita vituoni matupu bila kusimama au kuchukua abiria hamuoni mnafanya biashara kichaa