Iongezwe nauli tena? How and why?!Huu mradi ni wa mabillion ya pesa
Phase 1 ya mwendokasi mlioperate kwa hasara mkashindwa kununua magari mapya na huduma ikawa mbovu kupindukia
Suluhisho
1.Badilisheni nauli kituo hadi kituo iwe TZS 1,300 - 1,500
2.Ongezeni operator mwingne kuwe na ushindan
Unatumia DART kwa usafiri wa kila siku ?Iongezwe nauli tena? How and why?!
Kwa nini isiwe kupunguza gharama zisizokuwa na ulazima
Mapya itapendeza zaidiRuti ya Kibaha mnairudisha lini? Mlete hata mabasi yale ya zamani
Acheni ubabaifu....Ongezeni Mabasi yawe hata 1000 yanayofanya kazi kila siku ili kuondoa adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaamTANGAZO.
Kwa kutambua mchango wa Sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya usafiri, pamoja na kero ya msongamano katika eneo letu la MBAGALA, Serikali imezielekeza Daladala zote zilizokuwa zikitoa huduma kituo cha MBAGALA Ragi Tatu, kuhamia rasmi ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mwendokasi tarehe 1 Julai 2026.
Lengo la zoezi hili ni kuziunganisha daladala katika mfumo wa usafiri wa kisasa wenye tija zaidi kwa waendeshaji na Wananchi wanaotumia huduma hii.
Utekelezaji wa ZOEZI hili utaondoa usumbufu wa abiria kutembea umbali mrefu kutafuta usafiri wa kuunganisha waliokuwa wakiupata.
Wakala wa DART unawaomba ushirikiano wenu ili kufanikisha zoezi hili. Usikiapo tangazo hili mjulishe na mwingine.
Imetolewa na Wakala wa
Mabasi Yaendayo Haraka(DART)
Ubabaifu uko wapi ndugu? aliyekwambia tuna shida ya Mabasi ni nani? na je huoni namna watoa huduma wetu wote wanavyozidi kuongeza idadi ya Mabasi? na Je? unajua kule Mbagala peke yake kuna idadi gani ya magari? fanya utafiti wako ikiwezekana uende uone idadi kubwa ya mabasi mapya yasiyokuwa na kazi, wanasema ukiwa huna taarifa wala hujafanya utafiti huna mamlaka ya kusema wala kulaumu. Elimu kidogo tu ni kwamba mradi wa DART unatekelezwa katika awamu sita, Kimara kwenda Kivukoni, gerezani na Morocco ni awamu ya kwanza, Mbagala Gerezani na Kivukoni ni awamu ya Pili, Gongolamboto Kwenda mjini ni awamu ya tatu , ile ya kuelekea Tegeta ni awamu ya Nne, nakadhalika na kadhalika, na kila awamu ina idadi yake ya Mabasi kulingana na utafiti wa kina uliofanyika kujua idadi ya Mabasi itakayotosheleza, nakushauri ingia kwenye mitandao yetu ya kijamii Faebook, Instagram,Twitter (X) kwa anuani ya @DARTMwendikasi pamoja na tovuti yetu ya www.dart.go.tz utapata madini zaidi na kuuelewa zaidi huu mradi. Serikali makini huwa haifanyi mambo yake kwa kubahatisha.Acheni ubabaifu....Ongezeni Mabasi yawe hata 1000 yanayofanya kazi kila siku ili kuondoa adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam
Mnasababisha ajali nyingi kwa kuruhusu bodaboda na bajaji kupita upande wa MWENDOKASI.View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Niwaambie ukweli mchungu au mapambio kuwafurahisha maana hamkawii kudai mnatukanwa!!View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Wewe mwenye hela ungenunua tu usafiri wako binafsi.Unatumia DART kwa usafiri wa kila siku ?
Tatizo mnafanya mambo kwa kukurupuka na ndio maana mnashindwa. Haiingia akilini watu wa TLB ya njia halafu uwahamishe tu kiboya kama wajinga. Kiko wapi sasa, mbona bado daladala wanapiga kazi!?TANGAZO.
Kwa kutambua mchango wa Sekta binafsi katika utoaji wa huduma ya usafiri, pamoja na kero ya msongamano katika eneo letu la MBAGALA, Serikali imezielekeza Daladala zote zilizokuwa zikitoa huduma kituo cha MBAGALA Ragi Tatu, kuhamia rasmi ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mwendokasi tarehe 1 Julai 2026.
Lengo la zoezi hili ni kuziunganisha daladala katika mfumo wa usafiri wa kisasa wenye tija zaidi kwa waendeshaji na Wananchi wanaotumia huduma hii.
Utekelezaji wa ZOEZI hili utaondoa usumbufu wa abiria kutembea umbali mrefu kutafuta usafiri wa kuunganisha waliokuwa wakiupata.
Wakala wa DART unawaomba ushirikiano wenu ili kufanikisha zoezi hili. Usikiapo tangazo hili mjulishe na mwingine.
Imetolewa na Wakala wa
Mabasi Yaendayo Haraka(DART)
ASANTE POTI! 😅Asante kwa kuja.
Ni lini hayo mabasi mtayapeleka Mwanza pia ili wananchi wapate huduma ya usafiri..??
Sababu jiji la Mwanza limekua na tayari limechangamka na mkituletea hizo Bus zikaanzia route ya Kisesa, Igoma, Neshno, Buzuruga, Mabatini, Nata, Pepsi, Mkuyuni, Nyegezi, Buhongwa, Nyashishi hadi Usagara and Return.
DART.Mradi wa Mwendokasi Awamu ya Pili wazinduliwa Rasmi. Mh.Rais Asisitiza wananchi kuwa walinzi wa miundombinu.