DART Mwendokasi
Official Account
- May 17, 2023
- 123
- 138
- Thread starter
- #681
Huduma inaanza lini ndo jambo la msingiUfafanuzi juu ya Basi Jipya lililonekana katika mitandao ya kijamii likidaiwa kuwa ni bovu
Hili jambo limekaa kiuwajibikaji sanaView attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: [email protected].
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Hivi hawajapata mabus mapya hawa, zile bus zilizopigwa picha hazikuwa kwaajili ya huu mradi?Huo msongamano wa abiria kwenye kituo chenu cha Kimara mida ya asubuhi,inaashiria jinsi gani kazi ya uendeshaji wa huo mfumo wa mabasi ya mwendo Kasi imeishawashinda,achieni ngazi mwachieni muwekezaji.
Kimya sana wakuu, kuna updates gani hukoUfafanuzi juu ya Basi Jipya lililonekana katika mitandao ya kijamii likidaiwa kuwa ni bovu
Hatari sanaKumbe shida bado ni kubwa sana
Mara bada ya kukamilika kwa miundombinu huduma hiyo itarejea , na taarifa rasmi itatolewa tafadhali endelea kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Instagram, X ama zamani Twitter na Linkedin kwa anuani ya @DARTMwendokasi, pamoja na DART TV kwenye YouTube.Ruti ya Kibaha mnairudisha lini? Mlete hata mabasi yale ya zamani
Huu mradi ni wa mabillion ya pesaTunapenda kuwafahamisha wateja wetu wa Mabasi Yaendayo Haraka kuwa hairuhusiwi kulipa pesa taslimu kwenye ulipaji wa nauli abiria unatakiwa kulipa nauli yako kwa kutumia Kadi Janja ama Programu tumizi (App) ya Mwendokasi pekee. Kumejitokeza baadhi ya watumishi wasio waaminifu ambao kwa makusudi wanachukua pesa taslimu kutoka kwa wateja jambo hilo ni kinyume na utaratibu wa uendeshaji wa mradi wa BRT, kama abiria mzalendo kwa nchi na kwa maendeleo ya mradi tafadhali ukiona ama kukutana na uhalifu huo toa taarifa mara moja kwa Mamlaka (DART) kwa namba yetu ya bure 0800 110 147 ili hatua stahiki na za haraka za kisheria ziweze kuchukuliwa.