DART Mwendokasi
Official Account
- May 17, 2023
- 92
- 121
- Thread starter
-
- #81
Tuko active na tunamaanisha na katika hili hatuna masharti kama wengineMkiwa active mtapata mengi sana. Ila msije mkaja na mambo ya wenzenu TANESCO ya kupewa changamoto walizonazo, wao badala ya kuhangaika na changamoto hizo, wanaanza mambo ya kutaka mtu aandike namba yake ya simu, anakoishi na jina lake kamili..!!!
Tunashukuru kwa ushauri wako wa thamani tunaahidi kuufanyia kaziKuwepo na utaratatibu wa abiria kupangana ndni ya gari watu wanajazana mlangoni kiasi kwamba ni hatari, vibao vile vya location viboreshwe kama ni express iwe na alama ya kuonekana hata red n k
Wekeni fence kuzunguka kituo kama ilivyo kituo cha ubungo maji wote wapitie zebra
Magari yanayobeba samaki yawe special aisee magari ya kivukoni asubuh yananuka shombo
Wekeni utaratibu wa kupeana mizigo mfano mtu anampa mzigo kwa anaesafari na asiesafiri,(kama fees iwepo ndogo )
Walinzi wenu walipeni vizuri wanalalamika sana and low motivation,
All in all mradi ni mzuri ukifanyiwa kutatutwa changamoto zilizopo
[emoji28][emoji28] hyo hyo ACI hope ulimaanisha AC (Air Conditioner)
Duuh ubaguzi huu sasaKingine anzisheni mwendokasi VIP anayeweza kulipa hata afu tatu, kuwe na AC Kwa wanaoenda maofisi maana ule mubanano ni kero nawahurumia raia wanaokaa kimara ndio maana watu wanaendelea kutumia private car
PoaTunakuja kwa majiji makubwa kwa kuanzia , sasa tunaandaa sheria ambayo itatuwezesha kufanya hivyo tuvute subra yajayo yanafurahisha
Unafikiria waliweka huo ki vip watu wanakuwa wanaacha magari Yao binafsi na kupunguza foleni ndio lilikuwa lengo, anaye weza ku afford anapanda. Abiria wakimara wanateseka sana lohDuuh ubaguzi huu sasa
Af yaani efu tatu approximately ef 10 per day nauli tu si heri anunue tu gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaratibu wa matumizi ya kadi ilisitishwa kutokana na changamoto mbalimbali za kiufundi, kwa sasa mpango wa kurudisha kadi unakaribia kukamilika na mtajulishwa matumizi yake yataanza lini na namna ya kupata kadi hizo.
Katika mipango yetu ya baadae suala la VIP litazingatiwa , hii ipo kwenye mipango ya mabasi mapya yatakayokujaKingine anzisheni mwendokasi VIP anayeweza kulipa hata afu tatu, kuwe na AC Kwa wanaoenda maofisi maana ule mubanano ni kero nawahurumia raia wanaokaa kimara ndio maana watu wanaendelea kutumia private car
Tuvute subra tu wakati tunakamilisha kuleta kadi mpya suala la tiketi za karatasi litakuwa historia, hata hivyo kwa sasa unaweza pia kupakua Mwendokasi app kwenye playstore na android ili uweze kununua tiketi yako ya safari kwa kutumia mtandao. Kuhusu mawasiliano mfumo mpya wa Inteligency Transport System na wenyewe uko kwenye hatua za kupatikana huu utakuwa mwarobaini wa matatizo yote ya mawasiliano na uongozaji wa mabasi kwa ujumla.Tumieni radio call systems ni mfumo wa wazi,reachable na accessible na efficient. Maana organization ni finyu kwa sababu communication ni shida.
Yule kijana wa kule kivukoni anaechana tkt za mbezi hana adabu. Anahisi kama anaperform stejini halafu abiria ndio mashabiki wake. [emoji16][emoji16]
Kwa mujibu wa design tunatakiwa tuwe na basi kila baada ya dakika tano ,kwa sasa kwakua tuna upungufu wa mabasi ndiomaana hali haiko kama inavyotakiwa kuwa , lakini juhudi zinafanyika usiku na mchana na serikali yenu sikivu ya awamu ya tano kuhakikisha mabasi ya kutosha yanapatikana kwa awamu ya kwanza na awamu ya pili kule Mbagala ambayo iko katika hatua za mwisho za umalishaji.DART Mwendokasi Hamuwezi kuwa na utaratibu wa gari kuwepo kituoni kila baada ya say robo saa? Wakati mwingine watu wanasubiri gari haziji na zikija zimejaa. Hamuwezi ondoa hiyo kero kwa kuhakikisha kila baada ya dk fulani gari inapita kituoni?
@Tuvute subra tu wakati tunakamilisha kuleta kadi mpya suala la tiketi za karatasi litakuwa historia, hata hivyo kwa sasa unaweza pia kupakua Mwendokasi app kwenye playstore na android ili uweze kununua tiketi yako ya safari kwa kutumia mtandao. Kuhusu mawasiliano mfumo mpya wa Inteligency Transport System na wenyewe uko kwenye hatua za kupatikana huu utakuwa mwarobaini wa matatizo yote ya mawasiliano na uongozaji wa mabasi kwa ujumla.
Zilikuwepo ila wafanyakazi wao wasio waaminifu walizihamishia kwenye majumba yaoKwanini wasiweke dustbins?
Itaondoa dhana ya mass tránsit, itakuwa daladala sasaHayo mabasi wakopeshwe wenye daladala wa sasa. Kika mmoja aawe na lake au yake.
Kiwepo chombo cha kusimamia ubora wa mabasi, usalama, vituo na huduma.
Mfuno uwe first in first out kwa rwtiba unayopangiwa awali.
Nje ya hapo ni wizi mtupu.