DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Hiyo imenikumbusha hadithi ya "penzi kitovu cha uzembe"
Mzee ni kiboko maana si kumtumbua tu bali kumhamisha kabisaaaa ili wasiwe karibu karibu maana yaonekana alikoleanamo.
 
Gambo kaiga Makonda Style yamemkuta ......kakutwa na minoti kibao ..walimuweka mahali salama kidogo...watakua wamemuachia kukwepa fedheha ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu ....mipesa aliyokuwa analazimisha kupewa na matajiri wakiwamo wachimbaji wa mawe longido na mererani ...
Mkuu, vipi kuhusu hizo pesa wamemuachia au walizikomba pia?
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.

Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.

JOCATE ACHA USINITCH.
Pengine huyo unaemuita snitch ndio kaliwa na ndie chanzo cha DAS kupigwa mtama.
 
Penzi huleta madhara kwa kuathiri kazi na shughuli za kiuchumi. Kwa kumtumia Mazoea na Ngoswe kwenye kitabu cha Penzi kitovu cha uzembe eleza ni namna gani penzi litavyomuathiri jamaa kijaamii na kiuchumi.
 
Usnitch wake unakuja,kila mkulu akimuuliza yeye anamsingizia DAS kuwa ndo anamng'ang'ania,kumbe DC nae kakolea. Akiwa na Das mabusu kibao. Akiwa kwa mukulu anamponda Das kuwa hasikii kumfuatafuata.
Hahahah sema mkulungwa ana wivu sana. Alishamuonya jamaa aache kuchezea mali yake jamaa akakaza kichwa.

Mtoto wa kike kaona asingizie kusumbuliwa ili kuua soo! Maana angejifanya kukaza kichwa wote wangefurushwa wakaendeleze michezo yao ya "Te Amo Mucho" mbele kwa mbele huko.

Kama wanapendana wataendelea kulana tu hamna namna.
 
Penzi huleta madhara kwa kuathiri kazi na shughuli za kiuchumi. Kwa kumtumia Mazoea na Ngoswe kwenye kitabu cha Penzi kitovu cha uzembe eleza ni namna gani penzi litavyomuathiri jamaa kijaamii na kiuchumi.
Hahahhaha mapenzi ni maradhi yanayoathiri ubongo.
 
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Hahahah sasa DAS na DC wagombanie wanaume? Hilo lina make sense kwako?
Binafsi naona mtu alikuwa analishia mfugo wake halafu kijana akawa anakamua maziwa bila idhini yake. Hapo utaona kwamba mafahali wawili ndio walikuwa wanagombea DC! Sasa DAS kaletwa mama na kusindikizwa na ujumbe nae akaendelee kuwania vidume akishindana na DC!
 
Kumbe Mtela yupo Kisarawe?!

Halafu Jojo nae yupo wapi vile?!

Halafu haya mambo tunatongazana halafu tunasemeana kwa Bosi sio kabisa!

Si ungeninyima tu?! Halafu ndo nini... yaani unataka boss ndo akuone tunda lake peke yake, au?! Halafu achane unafiki nyie watu... eti mke wa mtu! Mmefunga ndoa lini?!
 

Attachments

  • 73358329_291961608834063_3482170573751365507_n.jpg
    73358329_291961608834063_3482170573751365507_n.jpg
    52.1 KB · Views: 11
Back
Top Bottom