Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,385
- 2,101
Sheria ipo iwapo utakatisha anga za wakubwa. Gusa anga za wakubwa unuke.Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ipo iwapo utakatisha anga za wakubwa. Gusa anga za wakubwa unuke.Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Kuna vitu vinashangaza sana Duniani,cha muhimu ni kumuomba Mungu atupe uhai tuweze kuviona.Aisee
Mmoja amezeeka,atapewa cheo cha umatron..Jaffo ameshafunga hesabu ya kidini!
Alionywa hakusikia.
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
yaan mwenyewe hiko cheo mpaka sasa najiuliza huyo mteule ni katibu tarafa, ni afisa utumishi mkuu, ni nani hasa?Mkuu muwe mnatuliza akili kabla ya kuandika,Tanzania kuna cheo cha katibu tawala wa tarafa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
cariha tulia uwaze kwanza afu ndio uandikeBora Raisi kasema ukweli hadharani hii kuficha ficha ni unafiki wa wabongo kuficha uchafuzi
Weka picha zao mkuundio japo umri umeenda sana, wanatembelea fimbo
Mshua wangu decent kwa kweli Ila mtu akifanya ujinga lazima uwe tu hadharani, iwe fundisho kwa wengine imagine huyo DAS cheo chake na ufuska kiliathiri kazi plus conflict of interests, Hilo ni kosa kubwa Sana tu kwenye taasisi, hzo aibu nyingine si za kujali, hivi kwanini uone aibu kwa madudu ya mwingine kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewecariha tulia uwaze kwanza afu ndio uandike
Yawezekana umeandika Fasta piga picha ndio mshua wako anaumbuka hivyo mbele ya kadamnasi kesho unatimba school class zima wanakusema kuwa mshua wako noma, Maza huko saloon ataona soo
Haya kwa mfano mke wa mtu ana namba ya mtumbuliwa kwa maongezi ya kawaida tu hapo mume akiiona hiyo namba ndani msala, yaani kifupi maisha ya mtumbuliwa kwenye jamii yatakuwa noma, ngoja tusubiri na magazeti ya kesho.
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Unadhani kwanini TUME HURU inakataliwa?WATU MUHIMU UPINZANI MNASHINDIA MITANDAONI WAKATI WENZENU WAKO MAJIMBONI WAKIPIGA KAZI.
AFU OKTOBA MKISHASHINDWA MTAFUNGUA MAJIMBO MAPYA YA SHILAWADU.
I heardVictoire, with all due respect my sisiter I dare say this is misleading. I couldn't catch such statement in the entire speech of His Excellency The President. Would you mind to strike off the post?
NAMPA HONGERA MH.RAIS KWA KUMTUMBUA NDUGU MTELA MWAMPAMBA NA USHAULI WANGU ASIPANGIWE KAZI NYINGINE.Mambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe