Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi kafukuzwa. Kutenguliwa uteuzi sio kufukuzwa kazi mkuu.Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Mimi siijui. Ngoja nikaigoogle.Unanikumbusha series ya homeland
Kata ipi ?Aombe msamaha tu sasa.Tena hiyo nafasi ulio itaja ni kubwa sana, amepangiwa kuwa katibu kata
Hapo akienda kugombea ubunge tu,hapiti kwa kura za maoni kwani kumpitisha tu itakuwa ni kupuuza tuhuma zilizotolewa na mkuu wa nchi,ili tuhuma hizo zibaki kuwa valid,inabidi jamaa asithubitu kugombea, otherwise atapata aibu zaidi...Teh teh teh [emoji1787][emoji1787] [emoji1787] huyu jamaa aliondoka Chadema na kina Shonza wakati mmoja?
Teh teh teh akagombee ubunge sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huku majimboni hakuna Mitandao?WATU MUHIMU UPINZANI MNASHINDIA MITANDAONI WAKATI WENZENU WAKO MAJIMBONI WAKIPIGA KAZI.
AFU OKTOBA MKISHASHINDWA MTAFUNGUA MAJIMBO MAPYA YA SHILAWADU.
Ameagiza apewe "kazi ya chini" na asibaki kisarawe...JAMAN ANGESAMEHEWA KAMA YULE RPC NA WALE WA TAKUKURU JAMANII ..AMA ATPAANGIWA KAZI NYINGINE SIJAONA HILO NENO ..MOLA AMSAIDIE MAHAKAMA ISIMUHUSU LOH ATALIA
District Administrative SecretaryDAS kirefu chake nini??
watu wengine ndo wamemchongea tu na jocket ndo wako dam dam dingilay kashitukaNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Alitongoza au alitembea nao?Au yote makosa chini ya Utumishi?
Halafu nayeye kama alionywa kwanini hakusikia