Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Kama wanamtaka wenyewe asiwasuuze?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kama anamtakaaaaKama wanamtaka wenyewe asiwasuuze?
Shida ni kujaza vijamaa vya kutoka kwenye kitengo ambavyo havijakomaa kimaadili or kuaminishwa wanaweza kufanya chochote.Mambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Njoo PM nitakupatiaNaomba number za Mtela kama unazo. Maana mnyakyusa yule atakuwa zaidi ya sukari.......
Mzee kumbe anatumia pesa sana?Jokate alikuwa akiulizwa anasema kamuonya hataki. Kumbe Jocate mwenyewe ndo alinogewa kwa Mtela. Akienda kwa Magu anasema Mtela anamng'ang'ania. Imenikumbusha issue ya Abby Majige. Magufuli alimuonya sana kijana mmoja aliekuwa anakula Abby. Magufuli tatizo shughuli haiwezi yeye nguvu yake ni pesa tu. Ndo maana vijana wanamsaidia.
Dah! Sema kulamba miguu ndio shida, ningekuwa mie ningekataa.. huwezi nitupa poriniHakuna tena wa kumkubalia kumpatia mzigo Mwampamba maana sasa anaenda kuwa katibu kata tena huko maporini tu hata umeme atausikia tiibiisiii
Waliokutumia wakishajilidhisha kwamba umeisha lazima utupwe hizo ni salamu kwa waunga juhudi woteMambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Hilo ndiyo tatizo kubwa lililopo kwa sasa, lkn hiyo inaletwa na ni jinsi gani hiyo ajira ya mhusika ilipatika vipi.Ila Abul Aaliyah tuende mbele turudi nyuma. Huu utawala una matatizo sana. Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kusimama hadharani na kumsimanga DAS eti anatembea na wake za watu. Kwani alibaka? Kwani kuna official case kuwa alibaka? Sasa huo ushahidi kaupata wapi? Nakwanini asifanye kiofisi akamtimua tu taratibu? Kwanini Mkuchika na Jafo wasimalize hilo suala mpaka anakuja kutamka hadharani hayo mambo? Anajua madhara yake kwa familia ya aliyemtuhumu? Ndugu zake je? Mke na watoto je? Haya mambo haya.
Ha ha ha.. kibano ofsini, kikaango hm..Mtela kama ana mke kazi anayo jioni kwa mkewe
Sasa hivi atataka tu atake asitake si anapelekwa katavi huko kuwa mwalimu wa secondary. Hivyo atakubali tu. Ng'ombe hazeeki maini.
Nitamtumia ticket na invitation letter aje hapa Detroit tule maisha. Bongo huko vumbi ukizingatia anapelekwa katavi huko.Jipe moyo.
Aaah...! Ndio maana huyo uliemsema ana wake 4?Nimeishi sana Maneromango shule aliyosoma Jaffo, weekend kama hii kule ni ngoma kwa kwenda mbele, ukiwa na tamaa kama za akina Mwampamba lazima ule familia nzima! Nadhani ndio yaliyotokea, kala kila kitu na hawajui kusema hapana
Jamaa anaonekana kajaaliwa halafu hana shuhuli ndogo.Ndiye yeye huyo alitoka Chadema ilikuwa mwaka 2013 yeye pamoja na Juliana Shonza.