DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.

Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.

JOCATE ACHA USINITCH.
inawezekana Jojo aliona mwamba anawachanganya mno!........ nadhani nimeeleweka!
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.

Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.

JOCATE ACHA USINITCH.

Rafiki hapa umekosea sana, inainyesha unamchukia Jokate? au umeandika kupata sifa fulani??? JOKATE mwenyewe kashtuka nusra roho imtoke, huyu Mtela HAJAANZA LEO NA JPM kasema wazi kabisa kuwa ameishaonywa mara nyingi sana

unataka kusema mkono au macho ya serikali yako kwa wakuu wa wilaya??

hapo umemkosea Jokate sana, na kama unajiheshimu, TUBU au kiri kuwa umeandika kimakosa kabisa

kibaya umeandika kama vile una uhakika kabisa kabisa?? aisee , wewe ni muuaji mchawi
 
Wakagombanie wanamme na DC. Kwani Mtela ni mwanamke?
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
 
Duuh Kuna mke wa mtu mmoja nimemtongoza Ijumaa. Nawaza hapa Kama bado nitakuwa katika nafasi yangu.
 
Ndiyo mjue nyinyi wategemea mbeleko kuwa hamna uhakika na kibarua mlicho saidiwa kwa hisani
Mambo ni moto

View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE

Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.

Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.

Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.

Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.

Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
 
IMG_20200615_132918.jpg
 
Back
Top Bottom