citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Yaoneka alikuwa anatumia nguvu na vitisho. Kama wangekuwa wanakubaliana ingekuwa poa.Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaoneka alikuwa anatumia nguvu na vitisho. Kama wangekuwa wanakubaliana ingekuwa poa.Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Imeisha hiyo....jamaa lazima alishapita apo
Haihitaji PhD kugundua hilo. Sura huwa zinasema mengiImeisha hiyo....jamaa lazima alishapita apo
Mambo haya ...muda mngine unaweza fanya kosa na mwanamke..halafu mwanaume unaondoka na mwanamke anabaki....hawa viumbe inabidi kuwa nao makini sana hasa kwenye kaziHaihitaji PhD kugundua hilo. Sura huwa zinasema mengiView attachment 1491120
Anataka amvunjie na ndoa.Raisi ameshindwa hata kumstiri jamaa.
Angeweza kusema kwa utovu wa nidhamu ili kumstiri mshikaji.
Simpangii Raisi ila hii ishu kwa busara angemtumbua jamaa na kutaja tuu sababu za jumla kwamba ni utovu wa nidhamu.
Sasa hii mbona aibu kubwa sana aisee.
Huu tunauita "mzigo wa mavi" aibu kubwa sana hii.
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Uanaume wa kweli unatakiwa kila siku uuvae ujasiri kwa lolote litakalo tokea ama chanya ama hasi. Atamudu tuu.Hahaaa hiyo aibu sijui ataweka wapi sura yake jmn! Na vile mheshimiwa kaeleza kila kitu[emoji4]
Fala kweli ni lodge zake za bei rahisi alipojichanganya ni kutumia lodge ya mtu wa karibu wa baba sijuii alikuwa haelewi kile chumba no 13 jakicha paleWATU WANATUMBULIWA KWA KUPIGA MADILI YEYE ANATUMBULIWA KWA SABABU YA KUENDEKEZA K... fal kbsa
Ova
WATU WANATUMBULIWA KWA KUPIGA MADILI YEYE ANATUMBULIWA KWA SABABU YA KUENDEKEZA K... fal kbsa
Ova