Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waunga juhudi wote hiyo ndio stahili yaoJAMAN ANGESAMEHEWA KAMA YULE RPC NA WALE WA TAKUKURU JAMANII ..AMA ATPAANGIWA KAZI NYINGINE SIJAONA HILO NENO ..MOLA AMSAIDIE MAHAKAMA ISIMUHUSU LOH ATALIA
Mkuu, shetani hana rafiki. Vijana wa CCM tunawaeleza hapa kila siku lakini hawati kusikia.Ila Abul Aaliyah tuende mbele turudi nyuma. Huu utawala una matatizo sana. Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kusimama hadharani na kumsimanga DAS eti anatembea na wake za watu. Kwani alibaka? Kwani kuna official case kuwa alibaka? Sasa huo ushahidi kaupata wapi? Nakwanini asifanye kiofisi akamtimua tu taratibu? Kwanini Mkuchika na Jafo wasimalize hilo suala mpaka anakuja kutamka hadharani hayo mambo? Anajua madhara yake kwa familia ya aliyemtuhumu? Ndugu zake je? Mke na watoto je? Haya mambo haya.
Jamaa anaonekana kajaaliwa halafu hana shuhuli ndogo.
Nakujua wewe ni muumini wa show za kibabe pamoja na mizigo iliyoshibaNitamtumia ticket na invitation letter aje hapa Detroit tule maisha. Bongo huko vumbi ukizingatia anapelekwa katavi huko.
Kwanini umpongeze anaetimiza wajibu wake? na kama ni muhimu kwanini nawewe usianzishe uzi wa hayo unaita tukio la kihistoriaBinafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.
Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?
Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Ukiaa na roho mbaya unakuwa unapenda kuinflict wounds tu .Unamfukuza mtu kazi hadharani,unamdhalilisha na bado unataka moto uwake nyumbani.Akina Kangi wanasamehewa alafu huyu unasema apewe nafasi ndogo.Ila Abul Aaliyah tuende mbele turudi nyuma. Huu utawala una matatizo sana. Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kusimama hadharani na kumsimanga DAS eti anatembea na wake za watu. Kwani alibaka? Kwani kuna official case kuwa alibaka? Sasa huo ushahidi kaupata wapi? Nakwanini asifanye kiofisi akamtimua tu taratibu? Kwanini Mkuchika na Jafo wasimalize hilo suala mpaka anakuja kutamka hadharani hayo mambo? Anajua madhara yake kwa familia ya aliyemtuhumu? Ndugu zake je? Mke na watoto je? Haya mambo haya.
Itakuwa amemuonea wivu jamaa anavokamua mizigo ..Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Sio habari ya ccm kuamini hii ni mbinu aliyoingia nayo jiwe yakununua wapinzani akiamini ataumaliza kachemkaNdio shida ya kugawa vyeo kwa mirengo ya kichama. Huyu Das alie tumbuliwa alikuwa mpambe wa Ccm mitandaoni yeye na Juliana. Shonza. Hakuna vetting ni kugawana madaraka tuu kisa Ccm ilimuamini. Hongera kwa kutumbuliwa.. Sasa atapewa job gani zaidi ya kurudi Lumumba akabidhiwe tena bk 7??
Nitamtumia ticket na invitation letter aje hapa Detroit tule maisha. Bongo huko vumbi ukizingatia anapelekwa katavi huko.
Dah! Sema kulamba miguu ndio shida, ningekuwa mie ningekataa.. huwezi nitupa porini
Anzisha uzi wako jombaaaaaMbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Sasa hivi atataka tu atake asitake si anapelekwa katavi huko kuwa mwalimu wa secondary. Hivyo atakubali tu. Ng'ombe hazeeki maini.
Haruhisiwi kutumia mitandao. Mabingwa wa mfumo dume si unawajua tena. Hata TV utakuta haruhusiwi kuwasha mpaka jiwe arudi.
WATU MUHIMU UPINZANI MNASHINDIA MITANDAONI WAKATI WENZENU WAKO MAJIMBONI WAKIPIGA KAZI.
AFU OKTOBA MKISHASHINDWA MTAFUNGUA MAJIMBO MAPYA YA SHILAWADU.
Ni mambo ya usaliti tu yanajirudia, ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upangaNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.