Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
TBC live coverage
Source?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source?
Raisi ameshindwa hata kumstiri jamaa.
Angeweza kusema kwa utovu wa nidhamu ili kumstiri mshikaji.
Simpangii Raisi ila hii ishu kwa busara angemtumbua jamaa na kutaja tuu sababu za jumla kwamba ni utovu wa nidhamu.
Sasa hii mbona aibu kubwa sana aisee.
Huu tunauita "mzigo wa mavi" aibu kubwa sana hii.
Mkuu.
Tanzania, kama sio Afrika yote, hakuna aibu kwa mwanaume kumtongoza mwanamke.
Sanasana huyo mtumbuliwa ataonekana kidume zaidi mtaani.
Kumbuka, Zuma alikuwa na kashfa ya kubaka na bado akawa rais wa SA.
Kwa upande mwingine,
Clinton alimmendea Monica Zelewinsky, akaponea chupuchupu kuvuliwa urais wa USA.
Hilo “zigo la mavi” kwa kashfa kama hizi ni huko kwa “ mabeberu tu mkuu!
AiseeeeMambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Paza sauti mkuuBado yule naibu waziri anayefakamia waume wa watu , wasaliti watapukutika wote .
Mkuu hebu fikiria kama huyu jamaa ana mke na watoto watamuonaje?
Mimi JPM ni raisi wangu na namkubali sana.
Ila sijaona busara yake katika kumtumbua mshikaji. Jamaa ni kama mtoto wake angemtunzia heshima kiaina. Angesema tuu ni mtovu ni nidhamu ila kusema "wake za watu" kwa public sio busara sana pamoja na kwamba dogo kazingua.
Bora Raisi kasema ukweli hadharani hii kuficha ficha ni unafiki wa wabongo kuficha uchafuziMkuu hebu fikiria kama huyu jamaa ana mke na watoto watamuonaje?
Mimi JPM ni raisi wangu na namkubali sana.
Ila sijaona busara yake katika kumtumbua mshikaji. Jamaa ni kama mtoto wake angemtunzia heshima kiaina. Angesema tuu ni mtovu ni nidhamu ila kusema "wake za watu" kwa public sio busara sana pamoja na kwamba dogo kazingua.
Hizo picha nimeona Instagram why kufuta humu Sasa maana Twitter zipoHuu uzi naona post kibao zimefutwa hasa picha zilizokuwa zimewekwa humu ndani.
24HRS IMEMHUSU HUYU ASIONEKANE KISARAWE KAMA SIHAKOSEA AMERUDI NA MSAFARA KABISA MENGINE WATAMLETEA DAR
Aiseenimecheka hadi nimejamba
Victoire, with all due respect my sisiter I dare say this is misleading. I couldn't catch such statement in the entire speech of His Excellency The President. Would you mind strike off the post?Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Hizo picha nimeona Instagram why kufuta humu Sasa maana Twitter zipo
kama aliwahi kuonywa na raisi lkn bado akaendelea na tabia za kihuni basi huyu alikuwa hafai kabisaaa,
una onywa na kiongozi wako halafu unakaidi !!
kwa hatua aliyo chukuliwa dhidi yake na hakika hajaonewa
Daa anaenda kuwa WEO!!!
Kumbe sikuhizi hamna Uhuru comments nyingi zimefutwa Sana, maana pictures kila cornerHata mimi nashangaa.
KAKUTANA NA HAYA MAZOEZIOO MAMAMAAAWEE