DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Hiyo imenikumbusha hadithi ya "penzi kitovu cha uzembe"
Mzee ni kiboko maana si kumtumbua tu bali kumhamisha kabisaaaa ili wasiwe karibu karibu maana yaonekana alikoleanamo.
 
Mkuu, vipi kuhusu hizo pesa wamemuachia au walizikomba pia?
 
Pengine huyo unaemuita snitch ndio kaliwa na ndie chanzo cha DAS kupigwa mtama.
 
Penzi huleta madhara kwa kuathiri kazi na shughuli za kiuchumi. Kwa kumtumia Mazoea na Ngoswe kwenye kitabu cha Penzi kitovu cha uzembe eleza ni namna gani penzi litavyomuathiri jamaa kijaamii na kiuchumi.
 
Usnitch wake unakuja,kila mkulu akimuuliza yeye anamsingizia DAS kuwa ndo anamng'ang'ania,kumbe DC nae kakolea. Akiwa na Das mabusu kibao. Akiwa kwa mukulu anamponda Das kuwa hasikii kumfuatafuata.
Hahahah sema mkulungwa ana wivu sana. Alishamuonya jamaa aache kuchezea mali yake jamaa akakaza kichwa.

Mtoto wa kike kaona asingizie kusumbuliwa ili kuua soo! Maana angejifanya kukaza kichwa wote wangefurushwa wakaendeleze michezo yao ya "Te Amo Mucho" mbele kwa mbele huko.

Kama wanapendana wataendelea kulana tu hamna namna.
 
Penzi huleta madhara kwa kuathiri kazi na shughuli za kiuchumi. Kwa kumtumia Mazoea na Ngoswe kwenye kitabu cha Penzi kitovu cha uzembe eleza ni namna gani penzi litavyomuathiri jamaa kijaamii na kiuchumi.
Hahahhaha mapenzi ni maradhi yanayoathiri ubongo.
 
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Hahahah sasa DAS na DC wagombanie wanaume? Hilo lina make sense kwako?
Binafsi naona mtu alikuwa analishia mfugo wake halafu kijana akawa anakamua maziwa bila idhini yake. Hapo utaona kwamba mafahali wawili ndio walikuwa wanagombea DC! Sasa DAS kaletwa mama na kusindikizwa na ujumbe nae akaendelee kuwania vidume akishindana na DC!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ