Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mara nyingi nyumba ndogo zinaleta wivu sana !Ila kama nchi tulipitia magumu sana😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi nyumba ndogo zinaleta wivu sana !Ila kama nchi tulipitia magumu sana😂😂😂
Mkuu, ulijuaje kama hakula?Wakuu, huyu dogo yupo wapi? Maana lah mzigo hujala afu unabeba lawama zote ..na kibarua kwishney...aisee mzee baba alikuwa na wivu wa balaa
MmhHebu elezea vizuri tukuelewe
Kuloweka Ndiyo Changamoto Kubwa Sasa HiviWakuu, huyu dogo yupo wapi? Maana lah mzigo hujala afu unabeba lawama zote ..na kibarua kwishney...aisee mzee baba alikuwa na wivu wa balaa
Wivu lazima, tunaigia gharama kubwa kuhudumia kwa ubora.Mara nyingi nyumba ndogo zinaleta wivu sana !
Yule alikuwa anataka kumiliki peke akeJiwe alikuwa na wivu
We mwamba wewe....,😂😂😂Pengine huyo unaemuita snitch ndio kaliwa na ndie chanzo cha DAS kupigwa mtama.
Ufafanuzi mzuri sana huuMuheshimiwa kamuonea kijana ... ajiulize yeye hiyo dhambi hajawahi fanya ... kama ni adhabu si wangeanzia kwenye maofisi wake na Waume za watu wanachukuliwa
Alafu hiyo ni Issue mdogo ya Kiutawala ambayo ingeweza kushughulikiwa kwa utaratibu na kuhifadhi heshima Kadiri ya sheria za utumishi wa umma Kwani hajatembeaa na watoto wa shule bali ni watu wazima wawili wamekubaliana ni masuala Binafsi
Na adhabu zake ni Binafsi na siri ili kulinda heshima
Kwenye mtu kuingia kwenye utumishi toka kijana hadi unakua Rais mabosi zake wangekua wanatoa adhabu kwake na kuzitangaza pengine asingefika mbali ....
Watu wako huko nyuma washabaka hadi watoto wao wakajiuwa kwa kunywa sumu ... wako watu washauwa bila kukusudia ...
iweje leo kijana kwa kosa la ujana tu anadhalilishwa ?
Ukute mzee baba kwa umri wake ule na kile ki -betri alikuwa anapapasa papasa tu !! vijana wanataka mtwangoooo ha ha ha haHuyo atakuwa aliingia anga za mtu. Kwani hajui kuna teuzi zinafanyika kulinda maslahi binafsi? Mtela Mwampamba akome kabisa maana kila akiona kinachong'aa anadhani ni halali yake. Aliingia vibaya. DC piga kazi sana kwa utulivu.
Serikalini hakufai kabisa, watu wanachomeana sana kwa wakubwa. YalishanikutaNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Magu hakusema ukweli! Jokate (ngoma yake) alimlalamikia kuwa Mtela anamsumbua baada ya kumwonjesha mara moja! Nawe Jokate tutakushtaki kwa kumsababishia rais kifo wakati akibugia blue pills wakati anajua ana pace maker! Nawe jiwe ulijipomza sana huku- mke wa kariuki, huku jokate, kule Ummy, huko katibu mkuu wa Ummy! kha jiwe ulijiponzaMambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Mbona tayari kitambo !Mama amuone na Mtela Mwampamba,ampeleke hata Mtwara,lile kosa la kutembea na wake za watu,ni dogo sana.Jamaa arudishwe kwenye mfumo kama akina Mnyeti tu.