Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Ushauri wa marehemu Dr omary through kitwana kondo

Kitwana Kondo akiwa Mbunge wa Kigamboni anamshauri Makamu wa Rais Hayati Dr. OMAR amwambie Rais Mteue Ramadhani Dau awe DG wa NSSF tena Rais mwenyewe Mkapa!!! HAHAHAH. Baada ya kuwakosoa kuwa Dau hakuteuliwa na Kikwete hapahapa mnabadilika mnakuja na ngonjera mpya japo umesahau kusema Kikwete alimshauri Kitwana kondo amwambie Dr.Omar amwambie Mkapa amteue Dau. Upo radhi kutuaminisha kuwa Mkapa alikuwa Rais karatasi na kusingizia hata mtu aliekufa ili kuonesha tu kuwa alishinikizwa kumteua Dr.Dau!
 
Hutaki hulazimishwi
 

Mi naona badala ya ku rule out uwezekano wa NSSF 'kununua' cheti ungemuuliza kuhusu uwezekano huo, dunia hii ina ma lobbyst bwana, hata tenda za kutengeneza silaha USA watu wana lobby itakuwa cheti cha ISO, kuna binadamu wengine wana uwezo kushinda upeo wa fikra zako, mpe mtoa hoja benefit of doubt upate kufahamishwa
 
Hutaki hulazimishwi

Unapoleta Uongo JF tofautisha na Ma group yenu ya Wasap. Mara kateuliwa na Kikwete mara Kateuliwa na Mkapa kwa ushauri wa Dr. OMAR na Kitwana Kondo. Kipi sasa kati ya haya mawili mlikuwa Mnasema uongo turekebishe Hansard yetu tuendelee na mjadala?
 
Pamoja na kwamba siungi mkono hoja iliyo mbele yetu. Nakuomba uwe mstahamilivu kidogo maana hoja hujibiwa kwa hoja si matusi.
Hivi kuna hoja yoyote hapo???

Kuna hoja isiyo na ushahidi hata mmoja??

Katika tuhuma zote mleta mada alizo ziweka kuna ushahidi hata wa kuunga unga???


Mbona makafiri mna tapatapa sana???
 
Kutetea dini ya Mwenyezimungu ni pamoja na kutetea ukweli.kwanini hupendi Dau akitetewa jee mwenye kutetewa anatakiwa awe vipi? Sio Dau tu hata Nehemea Mchechu huwa namtetea sana to dhidi ya Uongo na Fitna na hata wewe ukisingiziwa nitakutetea.
sitaki kutetewa na wanafiki .
 
Siku ukweli wote kuhusu ufisadu Wa dau utawekwa wazi nchi itatikisika. Mfano uhusiano Wa dr dau na kampuni ya derm yenye majengo manne marefu pale makumbusho, ni balaa tupu. Huyu jamaa anatakiwa asiwe uraiani, wanafungwa maisha waliosafirisha murungi 20kg!
 
Hivi kuna hoja yoyote hapo???

Kuna hoja isiyo na ushahidi hata mmoja??

Katika tuhuma zote mleta mada alizo ziweka kuna ushahidi hata wa kuunga unga???


Mbona makafiri mna tapatapa sana???
kwa taarifa yako mie ni mwenzako si mkristo. Bali hoja yangu ni watu kuwa wastahimilivu kidogo hata Kama umekereka. Fikiria wewe ukiitwa kafiri utajisikaje? Mjibu kiuataarabu si matusi. Kawaida hapa JF kumekuwepo Na wimbi la wakurupukaji wa kukanusha ila inauma pale ukweli unapojidhihirisha. Kumbuka hizi ni tetesi na zinatakiwa kuthibitishwa. Pole sana
 
Tujadili trilion 4.6 zilizolipwa kwa makampuni ya kufua umeme chini ya wataalamu wasomi
source : NIPASHE
 

Ulitaka Mzee Dau asichangamkie yaliyo wazi?
Mbona hata mkuu wa kaya alikuwa hivyo.
 
Huyu ni moja ya kambi pinzani ya Dr Dau, yaani hili sakata la NSSF ni burdani tupu.

Hapa bado watetezi wa Dr Dau hawajaja kwa wingi, nadhani kwa sababu ya siku yenyewe hii.
Mi huwa sielewi kwa nini iwe NSSF na si Chombo kingine suala la udini halijaanza leo ndani ya hicho Chombo cha umma . Hata mchakato wa ajira ndizo zilikuwa nyimbo . Hatuangalii Kama mhusika ni wa dini gani ila kwa Enzi tulipo nazo watu wa hivi ni hata nyumba kumi hawafai
 


Sheikh naona unapanic sana lakini lisemwalo lipo sheikh hata ukibisha vipi hata kuweka mskiti nssf sio udini???dah kwanini dau aandamwe kwani ndio muislam pekee anaeendesha shirika??? Ila sio vibaya apeleke Saudi Arabia au afghanistan kuwa balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…