Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Na ndio hizi wanapeleka nyumbaniMwanaume kuhonga suna
Wanaume wanajitahidi sana kuhudumia familia Mimi naona ni 100% tunapeleka homeInawezekana ni huko USA ila kwa hapa, 99% ya kipato cha mwanaume mwenye familia inaishia kwenye familia!
Wachache wanaotumia kilevi, pengine ndo hiyo 1% anaitumia kwake binafsi kwenye kilevi na vitobo kama ni mtumiaji wa mara kwa mara.
Aache uchawa wa kike...inasikitisha kuona wanaume wamegeuka kuwa wanawake ili kutetea ugali wao.
Hii ni kweli wanapeleka makwao walikozaliwa sio homeHapo anapoongelea familia ni ile familia aliyozaliwa mwanamke, yaani kwa lugha nyingine ukioa mwanamke atahakikisha 90% ya kipato chake kinaenda upande aliotokea, halafu mkija kuachana inabidi agawane 50% ya mali za mwanaume
Hongo zetu ndio wanatamba nazo *****Hiyo ya mwanaume inayoishia njiani ni akina nani wengine wanaokula hiyo hela kama siyo hawo hawo wanawake.
Ukihonga yeye anapeleka nyumbaniMwanaume kuhonga suna
Huyu naye anataka kuzeeka vibaya tupeleke pesa zote nyumban ili iweje?
Utafiti hauwezi kuwa tofautiInawezekana ni huko USA ila kwa hapa, 99% ya kipato cha mwanaume mwenye familia inaishia kwenye familia!
Wachache wanaotumia kilevi, pengine ndo hiyo 1% anaitumia kwake binafsi kwenye kilevi na vitobo kama ni mtumiaji wa mara kwa mara.
Aache uchawa wa kike...inasikitisha kuona wanaume wamegeuka kuwa wanawake ili kutetea ugali wao.
Umeelewa bandiko?😁Mwanaume kuhonga suna
Why my friendIrrelevant information
Huyo aambiwe ukweli, kuwa hayo ni kwa viumbe kama tumbili huko mwituni siyo huku kwetuHaya mambo ya kujipendekeza kisa Mkubwa ni mwanamke yanatia kinyaaa.