Mwanga wa Jua
Senior Member
- Mar 7, 2025
- 106
- 54
Nasisitiza hiiMwanaume kuhonga suna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasisitiza hiiMwanaume kuhonga suna
Kafulila anachonivutia ni kueleza mambo yake kwa takwimuView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Tatu, Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
===

Ukweli lazima usemwe acha usemwe ukweliHaya mambo ya kujipendekeza kisa Mkubwa ni mwanamke yanatia kinyaaa.
Hawa hawa wanawake hela zao ambazo zinaliwa na Manabii na Waganga?
Hawa hawa wanawake hela zao ni kwajili ya mama zao na familia zao?
Mtu una ishi na mwanamke ambae ana kazi ila atakuomba hadi hela ya saluni.
Ada, kodi, vyakula , usafiri zote zina muhusu baba.
Ni wanawake wachache sana wanatumikia familia kwenye hela yake .
Ukweli lazima usemwe acha usemwe ukwelHaya mambo ya kujipendekeza kisa Mkubwa ni mwanamke yanatia kinyaaa.
Hawa hawa wanawake hela zao ambazo zinaliwa na Manabii na Waganga?
Hawa hawa wanawake hela zao ni kwajili ya mama zao na familia zao?
Mtu una ishi na mwanamke ambae ana kazi ila atakuomba hadi hela ya saluni.
Ada, kodi, vyakula , usafiri zote zina muhusu baba.
Ni wanawake wachache sana wanatumikia familia kwenye hela yake .
Mzee wa post za kumchota mama akili. Waha machawa aiseeMzee wa kula na kipofu
😁😁😁Mzee wa post za kumchota mama akili. Waha machawa aisee
Yote ni kweli hata hivyoInawezekana ni huko USA ila kwa hapa, 99% ya kipato cha mwanaume mwenye familia inaishia kwenye familia!
Wachache wanaotumia kilevi, pengine ndo hiyo 1% anaitumia kwake binafsi kwenye kilevi na vitobo kama ni mtumiaji wa mara kwa mara.
Aache uchawa wa kike...inasikitisha kuona wanaume wamegeuka kuwa wanawake ili kutetea ugali wao.
🤣🤣Hiyo 90 na pesa zetu zipo hapohapo
Uenda kweli ni TUMBILIView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Tatu, Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
===
Anakuwaje Tumbili wakati ni binadamu?Uenda kweli ni TUMBILI
Amesoma akili za boss wake anapitiamo humo humo.Mzee wa kula na kipofu
🤣🤣 Yes ni Kweli65 % kinaenda site kwenye ujenzi na Ada za watoto yupo sahihi kabisa.
Point 🤣🤣Hebu atuache kidogo upeleke zote siku ukipigwa na kitu kizito unaponea wapi au ukizeeka....maza fanta. Zinazoenda zinaenda na zingine nawekeza likitokea la kutokea Wakili atawapa taarifa zilipo.
Bado hamjasemaHiyo 90 na pesa zetu zipo hapohapo
Hawakukosea kumbatiza lile jina. Na yeye abadili jinsia kama anaona wanawake wanafaidiView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Tatu, Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
===
Hiyo ndio piipipii?View attachment 3263356