Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
- #21
Daaah, 😂Huyo aambiwe ukweli, kuwa hayo ni kwa viumbe kama tumbili huko mwituni siyo huku kwetu
Kwani Kuna uongo wowote hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah, 😂Huyo aambiwe ukweli, kuwa hayo ni kwa viumbe kama tumbili huko mwituni siyo huku kwetu
Tafiti zake ni huko siyo huku, sisi tunajitambuaDaaah, 😂
Kwani Kuna uongo wowote hapo?
😂😂Ilifaa anyamaze tu maana tunayo yaona huku majumbani mwetu dhidhi ya wake zetu ataambukia matukano sana kwa hio salamu yake kwa wanawake
Sio kwa mwanamke mpeleke nyumbaniYani tupeleke pesa yote kwa mwanamke?
Hii inaleta maana. Maana nimetafuta kila namna kumwelewa nikashindwa.Hapo anapoongelea familia ni ile familia aliyozaliwa mwanamke, yaani kwa lugha nyingine ukioa mwanamke atahakikisha 90% ya kipato chake kinaenda upande aliotokea, halafu mkija kuachana inabidi agawane 50% ya mali za mwanaume
Hahaha wenye D mbili ni ngumu kuelewa hiiHapo wenye D mbili mnatakiwa mumuelewe Kafulila ana maana gani anapozungumza haya maneno, anatumia lugha ya kiprofesa kufikisha ujumbe, otherwise hawa wanawake wa kibongo siwanaeleweka, changu changu, chako chetu .
Wanawake hawa hawa wa ManzeseHuyu jamaa Kawa chizi maarifa siku hizi,hata sielewi anaongea nini,wanawake wa wapi hao anao waongelea?
Umeona e hahahaha, nimeipenda hii commentHiyo 90 na pesa zetu zipo hapohapo
Amekua domokayaView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
Domokaya tena Jenga hoja tukueleweAmekua domokaya
Anatopokwa tu
Kaongea hovyo
Kafulila ameiva sana kiuongziView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
Kafulila Bora sana Kwa Sasa ila I hawa mwingiView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
Sahihi,.Hela ya Mwanamke ni ya Mwanamke na Hela ya mwanaume ni ya mwanamkeHuyu akafanye upya hiyo tafiti halafu aje hapa tena na facts mpya, tumpe na matokeo ya berlin conference 1984-1985, on to Tanzanian settings. Hela ya mwanamke ni ya kwake, hela ya mwanaume ni ya wote. Akwende zake huko USA