David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

Ilifaa anyamaze tu maana tunayo yaona huku majumbani mwetu dhidhi ya wake zetu ataambukia matukano sana kwa hio salamu yake kwa wanawake
 
Mwanamke ndiye anaesabisha yote hayo, angekuwa na upendo wa kweli kwa mume wake, pato lote la mwanaume lingebaki nyumbani. Mf. Kama kila siku anamwambia mme wake kuwa amechoka, inabidi atafute mtu wa pembeni ambae atapunguza kipato cha hapo nyumbani.
 
Hapo anapoongelea familia ni ile familia aliyozaliwa mwanamke, yaani kwa lugha nyingine ukioa mwanamke atahakikisha 90% ya kipato chake kinaenda upande aliotokea, halafu mkija kuachana inabidi agawane 50% ya mali za mwanaume
Hii inaleta maana. Maana nimetafuta kila namna kumwelewa nikashindwa.
 
Hapo wenye D mbili mnatakiwa mumuelewe Kafulila ana maana gani anapozungumza haya maneno, anatumia lugha ya kiprofesa kufikisha ujumbe, otherwise hawa wanawake wa kibongo siwanaeleweka, changu changu, chako chetu .
 
Hahaha wenye D mbili ni ngumu kuelewa hii
 
Huyu jamaa Kawa chizi maarifa siku hizi,hata sielewi anaongea nini,wanawake wa wapi hao anao waongelea?
 
Amekua domokaya

Anatopokwa tu

Kaongea hovyo
 
Huyu akafanye upya hiyo tafiti halafu aje hapa tena na facts mpya, tumpe na matokeo ya berlin conference 1984-1985, on to Tanzanian settings. Hela ya mwanamke ni ya kwake, hela ya mwanaume ni ya wote. Akwende zake huko USA
 
Kafulila ameiva sana kiuongzi
 
Kafulila Bora sana Kwa Sasa ila I hawa mwingi
 
Huyu akafanye upya hiyo tafiti halafu aje hapa tena na facts mpya, tumpe na matokeo ya berlin conference 1984-1985, on to Tanzanian settings. Hela ya mwanamke ni ya kwake, hela ya mwanaume ni ya wote. Akwende zake huko USA
Sahihi,.Hela ya Mwanamke ni ya Mwanamke na Hela ya mwanaume ni ya mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…