cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Wewe unapeleka home 90%?Kwa kichwa ya uzi ππ½ππ½ππ½
Baba huyu kanena... Maana miaka inazidi maliza uume wa wengi na hawakomi..
Nimeelewa sana tu tatizo nini?Umeelewa bandiko?π
Utafiti unapingwa kwa utafiti kafanye kwanza wewe ili umpingeHuyu akafanye upya hiyo tafiti halafu aje hapa tena na facts mpya, tumpe na matokeo ya berlin conference 1984-1985, on to Tanzanian settings. Hela ya mwanamke ni ya kwake, hela ya mwanaume ni ya wote. Akwende zake huko USA
Wewe sio raiaView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Tatu, Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
===
Njoo in-boxKwa kichwa ya uzi ππ½ππ½ππ½
Baba huyu kanena... Maana miaka inazidi maliza uume wa wengi na hawakomi..
Kafulila apewe tuzo kwa kuwatetea wanawakeView attachment 3263356
Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake.
Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio watu wanaozijali sana familia ukilinganisha na wanawake Kwa ni 35% tu ya kipato Cha mwanaume ndio kinafika nyumbani wakati ni 90% ya kipato cha mwanamke ndio kinafika nyumbani.
Tatu, Mkurugenzi huyo amezishauri familia ziachane na imani potofu badala yake zipeleke watoto wa kike shuleni kwani wakisoma wanafaida zaidi kwenye familia zao pengine kuliko hata wanaume.
===
Hayo ndo maazimio ya kikao cha beijing? Ushenzi ushenzi huu ndo umefanya ndoa nyingi kuwa kama soko moko, kimsingi mahusiano ya mke na mume miaka hii yamezidi kuwa matataniSahihi,.Hela ya Mwanamke ni ya Mwanamke na Hela ya mwanaume ni ya mwanamke
Haya maazimio ya Berlin yalikuwaje kuhusu Pesa ya Mwanaume?Hayo ndo maazimio ya kikao cha berlin? Ushenzi ushenzi huu ndo umefanya ndoa nyingi kuwa kama soko moko, kimsingi mahusiano ya mke na mume miaka hii yamezidi kuwa matatani
Ni beijing mkuuHayo ndo maazimio ya kikao cha berlin? Ushenzi ushenzi huu ndo umefanya ndoa nyingi kuwa kama soko moko, kimsingi mahusiano ya mke na mume miaka hii yamezidi kuwa matatani
Unajuaje?Mke wake mbona alikuwa hapeleki nyumbani?
Huyu jamaa adhibitiwe anadanganya taifa kashaona mama ni kilaza ndio maana anakuja na hojaza ukilaza
Mkuu Mimi ni mfuasi wako nakukubali sana tuHayo ya Ngoswe wawaachie kina Ngoswe (wenye familia zao) wao wajikite zaidi kwenye kazi tunazowapa na kuwalipa (Huo ushauri tunaweza kupata hata pengine) Je Sera zao zinachukua kiasi gani na kumwachia ngapi mbangaizaji ili abakize mfukoni let alone kufikisha nyumbani ?!!!
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Na iwapo kina kitu tunabinafsisha hata hicho wanachokichukua wanachukua ili kifanye nini ?
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Ndio maana anasisitiza wazazi wawasomeshe watoto wa kike maana badae 90% inarudi kwao tena.Hapo anapoongelea familia ni ile familia aliyozaliwa mwanamke, yaani kwa lugha nyingine ukioa mwanamke atahakikisha 90% ya kipato chake kinaenda upande aliotokea, halafu mkija kuachana inabidi agawane 50% ya mali za mwanaume