David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

huyu kafulila anaongelea wanawake gani? Hawa hawa ambao birthday yake anataka umnunulie zawadi ya smart phone halafu birthday yako anakuletea zawadi ya boxer 3 na vest
Kafulila mwenyewe ndoa ilimshinda, mwananke wake yule jesca wameseparate beyond repairs. Atatuambia nini kuhusu wanawake tukamuelewa?
 
Hizi takwimu ni za huko Marekani. Tanzania sio kabisa.
 
Sawa Kafulila
 
Kafulila apewe tuzo na wanawake kama kweli wanawake wanajitambua
 
Huku kunaitwa kudanganya kwa kutumia Takwimu.
Tunakubali wanatoa asilimia kubwa, lakini je ni Asilimia ya ngapi?

90% ya 100,000/- ni Sh 90,000.
35% ya 1,000,000/- ni Sh 350,000.
 
Huku kunaitwa kudanganya kwa kutumia Takwimu.
Tunakubali wanatoa asilimia kubwa, lakini je ni Asilimia ya ngapi?

90% ya 100,000/- ni Sh 90,000.
35% ya 1,000,000/- ni Sh 350,000.
Walau wewe hoja yako ni Pana sana,

90% kwenye kile anachopata
 
Kazi na iendelee
 
Aisee... Basi mi nipewe tuzo ..
 
Usishangae kesho akaja na takwimu kuwa wanawake utumia maji kidogo sana majumbani mwao kuliko wanaume, mpaka mama aondoke hizi takwimu zitatuua.
 
Wasomi wenu wa wa Mwembeyanga hao
Anavutia ugali ulipo tu hana lolote
 
Kumbe Tumbili anafikisha nyumbani 35% tu ya kipato chake? Ndiyo maana yule mke wake alimkimbia
 
Kafulila yuko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…