David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

Kafulila anachonivutia ni kueleza mambo yake kwa takwimu
 
Kafulila anachonivutia ni kueleza mambo yake kwa takwimu
 
Ukweli lazima usemwe acha usemwe ukweli
 
Ukweli lazima usemwe acha usemwe ukwel
 
Yote ni kweli hata hivyo
 
Uenda kweli ni TUMBILI
 
65 % kinaenda site kwenye ujenzi na Ada za watoto yupo sahihi kabisa.
 
Hebu atuache kidogo upeleke zote siku ukipigwa na kitu kizito unaponea wapi au ukizeeka....maza fanta. Zinazoenda zinaenda na zingine nawekeza likitokea la kutokea Wakili atawapa taarifa zilipo.
 
Hebu atuache kidogo upeleke zote siku ukipigwa na kitu kizito unaponea wapi au ukizeeka....maza fanta. Zinazoenda zinaenda na zingine nawekeza likitokea la kutokea Wakili atawapa taarifa zilipo.
Point 🤣🤣
 
Hawakukosea kumbatiza lile jina. Na yeye abadili jinsia kama anaona wanawake wanafaidi
 
Hiyo ndio piipipii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…