The branding
Senior Member
- Apr 17, 2022
- 186
- 320
Kwani unabebwa kichwani, nyie kashangilieni Simba na Yanga nahisi hayo ndo mnajua Sana wa TZKafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Kafulira ni jalala.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Hahaaa maswali mazuri sanaKwaiyi uo umeme ulifikaje Namanga? Siumetokea ethiopia?
Lakini kaa ukijua kwamba umeme unaokuja Kagera hautoki Kalisizo wala Kyotera close to other side of the border ,bali unatoka Owen Falls around Jinja in Uganda, some 300 Km away wakati already Kagera imeunganishwa kwenye Grid ya Taifa na kuna Rusumo hydropower with 81 Mega Wats .Kafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Kwamba Ethiopia ameweza kusambaza umeme ndani ya nchi yake, akavuka mpaka na kumletea mkenya, na sasa anauvusha kenya kuuleta Tanganyika. Huku Tanganyika imeshindwa kusambaza umeme ndani ya Tanganyika na imeona inunue umeme wa masafa marefu ambao wenyewe haupotei njiani maana una gps...
Lakini kaa ukijua kwamba umeme unaokuja Kagera hautoki Kalisizo wala Kyotera close to other side of the border ,bali unatoka Owen Falls around Jinja in Uganda, some 300 Km away wakati already Kagera imeunganishwa kwenye Grid ya Taifa na kuna Rusumo hydropower with 81 Mega Wats .
Tumbili ktk ubora wakeMkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Kafulila yupo sahihi.. ni ujinga kusafirisha umeme kutoka rufiji mpaka kagera. Maelfu ya kilometa.
Huku ukiwa kagera unaweza kununua umeme uganda ukafika kagera kwa urahisi maana pafupi sana
Andika tu kwa Kiswahili mkuuKafulia and all those who cheer support this arrangement should tell Tanzanians and Answer this Question: what is Cheaper" : i.e Receiving Power via a 1,700 Kms transmission line from Ethiopia via Kenya or from a 600 Kms transmission Line within Tanzania from Nyerere Hydro Power station to the Northern Cites of Tanzania? We should take note that the longer the transmission line , the more voltage loss/waste along the line. Ethipoia hawalipwi kwa hela yetu ya madafu bali Forex, ambazo tunazo haba !
Please give us an answer. The Transmission line infrastructure are all already in place to get power to the so called ' Northern Parts of Tanzania" ,It doesn't sound much convincing .
Duuuh ni balaaTayari wale machawa anaolipa wamsifie wameshakuja kujibu , bado vile zile ID zake mbili sasa hazijaja kujibu.
SawaTayari wale machawa anaolipa wamsifie wameshakuja kujibu , bado vile zile ID zake mbili sasa hazijaja kujibu.
Andika Jina vizuriKafulira ni jalala.
Wewe huna mama mpaka uanze kudandia mama wa wenzio?Sisi sote ni watoto wa Mama Samia, Mama ni Mama tu.
Huyu kenge tangu aanze kuvimbisha makalio, anaongea pumba tu, umeme unazalishwa kusini mwa TZ, tunaambiwa utasafirishwa uuzwe Kaskazini, Kenya, Ila kuupeleka mikoa ya Kaskazini, tunaambiwa ni gharama kubwa!Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.