Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia.
Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba nchi kubwa na tajiri duniani kama Marekani ( USA ), Ujerumani, Norway, Sweden au Australia wanaumeme mwingi kiasi Cha kuuza nje ya nchi zao bado na wao kwa Upande mwingine wa nchi zao wananunua umeme kutoka nje ya nchi zao.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Kafulila anasema kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu hasa maeneo ya mipakani gharama ya kuzalisha, kusafirisha na kufikisha umeme maeneo hayo ni kubwa pengine kuliko gharama ya kuuvuta na kuununua umeme toka nchi za jirani.
Huyu kenge tangu aanze kuvimbisha makalio, anaongea pumba tu, umeme unazalishwa kusini mwa TZ, tunaambiwa utasafirishwa uuzwe Kaskazini, Kenya, Ila kuupeleka mikoa ya Kaskazini, tunaambiwa ni gharama kubwa!
Hqpo ndio shida,
Ngoja ni wasaidie, kama, kinachofanyika hi hiki:
Unazalisha umeme Kusini, unautia kwenye gridi, unausafirisha, mpaka Arusha, kwa, vile Arusha ni mbali, na miundombinu ni duni,kunakuwa na upotevu wa umeme njiani maana umeme wote wa Kaskazini unstoka Kusini, ikitokea kuna chanzo,cha umeme karibu na Arusha(Kenya kwa mfano), umeme wake ukawekwa, kwenye grid yetu kupitia miundombinu yetu pale Arusha, kitakachotokea, hivi vyanzo viwili, vitasaidiana kubeba mzigo wa Arusha, kwahiyo, chanzo chetu cha Kusini, kitasukuma umeme kidogo, na hivyo kupunguza upotevu wa umeme. :hii ni sawa kabisa,
Lakini hizi story, kuwa tunapeleka umeme kwenye pool, busbar ya East Afrika, ili tuuze Kenya, lakini umeme huo huo, kuupeleka Arusha inakuwa shida, tunaambiwa itabidi tununue kule kule tunapouza! Hapa maelezo yanahitajika!
1) tunauza kupitia wapi, tunanunua kupitia wapi?
2) mpaka, lini?
3) tunauza, kiasi, gani?
Kama, tunanunua umeme wa, billion in 10,harafu tunauzza wa bilioni 50 sawa!
Ccm ni majizi yanatafuta justficstion ya, kupiga za, uchaguzi, huyu karibu mkuu wizarani, mramba, ni fisadi, jizi, alikuwa, CEO wa, Tanesco,pale aliiba Sana,