David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

Lengo kuu ni kuifanya kizimkazi kuwa kama Nyuyoku
 
Nani kasema Wizara haijui wewe box ???!!
Rudia kusoma hayo majibu ya Kafulila utaelewa ,


Hoja hapa ni TZS 7T haziku-hit kwenye akaunti ya hazina ila zimefanya matumizi kama kawaida
Nani anaingia mkataba na mkandarasi?

Unajua mkandarasi ana sub contractors wangapi?

Unataka kusema Tanzania mkandarasi ndio mwenye jukumu la kutafutia tenders sub contractors kwa mikataba ya Tanzania na kuwalips yeye.

CAG anakazi gani kama contractors na wakopeshaji wana deal moja kwa moja kwenye ukaguzi. Achana na certificates, IΕ‚a kwenye ukaguzi wa value for money on project quality.

Nani responsible kwenye project dispute? Kama mlipaji, mkaguzi na mwenye mradi ni watu tofauti.
 
Kitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
Majibu ya kafulila hΓ yafanyi mwenye Γ kili awe hana akili. Kama huna akili huna tuu, huyu ni chawa wa mΓ ma na huwa mara nyingi Γ najifanya ndo msemΓ ji mkuu wa serikali.
 
Hivi Kafulila ni msemaji wa serikali? Maana kila siku Kafulila hivi, Kafulila vile.
 
Kitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
wewe ndio utakuwa Kilaza maana una mahaba na Tumbili mpaka unakunwa kwani Luhanga Mpina katika maongezi yake ya hizo Trilioni alikuambia kuwa baadhi ya hizo fedha alizoziorodhesha ni zawakopeshaji ambao wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina ?

Acha utumbili wewe.
 
Nimewaambia mara nyingi kwamba Mpina ni mzushi na ndio sababu hakuna mission yake yeyote iliyowahi faulu Toka aanze uzushi.

Alifanimiwa kumtikisa Bashe kidogo ila Kwa Nchemba ameshindwa vibaya.

Kwa namna yeyote Ile haiwezekani Waziri akakoa hela yote hiyo bila maelezo.
 
Anajibu Kafulila ??!
πŸ˜³πŸ™„!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…