David Kafulila amvaa Luhaga Mpina deni la Taifa

Na hata Wakorea wana utaratibu huo.
 
N
a mwingine alituambia Watanzania msiogope madeni hakuna mtu atafuatwa nyumbani kwake kudaiwa πŸ˜³πŸ™„
 
Sijaelewa hapa swala ni Wizara kutokujua ama fedha kutokuingia kwenye account zake ?
 
Ukimgea wewe mimi huwa sipingi maana mimi nimeamua kuwa chawa wako hapa JF..
 
Sijaelewa hapa swala ni Wizara kutokujua ama fedha kutokuingia kwenye account zake au ni mutually conditional ?
What’s mutual condition? (.uwezi kujiandikia terminologies).

Either way in practice mkandarasi analipwa on certificate ambayo anapeleka serikalini, sasa serikali nae akipeleka hiyo certificate kwa mtu wa nje alipe sijui huyo CAG ana tracΔ™ vipi bank conciliation za serikali.

That’s just auditing, achana na public debt assessment.

Ujinga mtupu alichoandika Kafulila.

Sio kila mtu poyoyo humu, wa kujiandikia ujinga.
 
Waambie hao hawajui.
 
CCM walitaka kuizika CHADEMA ikashindikana.

Wakajikuta wanajichimbia kaburi lao!!

Sasa wamejikuta wanajizika kwenye kaburi la CHADEMA.

Wasira ndo anawazika zaidi
Sasa wamejikuta wanajizika kwenye kaburi la CHADEMA.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yeye mwenyewe Kafulila ni dalali/Middle man/3rd part.
Dalali wa Adani group
 
Huwezi kuichukia rushwa ukiwa ndani ya mfumo wa serikali ya ccm. Hujitambui wewe. Viongozi na watendaji wote wa taasisi za umma ni wala rushwa. Ndiyo maana hata watumishi wa chini wote kwenye taasisi za umma wanapokea rushwa kwa kwenda mbele. Kafulila yeye ni nani? Au ni Malaika? Nchi zote duniani zilizofanikiwa kutokomeza au kwa kuipunguza rushwa to an acceptable level walitunga sheria kali ikiwemo na kifo kabisa. Rushwa haikemewi kwa matamko kama ya kina Samia na chawa wake, it's the process of judiciary reform and other government instruments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…