Mzee Sokoine
Senior Member
- Oct 1, 2024
- 131
- 109
Mzee Wassira anasema ni Kibaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3212307
===
Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania walio wengi hasa wanaCCM wanatamani sana katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe ndio kampeni meneja wa Rais Samia ili kama chama tuweze kumnyoosha vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja, Kali Kali na data za Kafulila.
Kila mmoja anafahamu tangu Bungeni Lissu ni mtu mwenye akili na hoja sana mbaya zaidi wakati huu anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa wote ni watu wenye hoja Kali, Kali.
Kwa sababu hiyo, Chama Cha Mapinduzi CCM lazima kijipange kuvulumushiwa hoja kali kali toka kwa hawa vinara wa Upinzani kuanzia sasa ndio maana watu kama akina David Kafulila, Hampfrey Polepole, Dkt Bashiru Ally Kakurwa wanahitajika Sana kwa Sasa.
Sijatumwa na Mtu ni kihere here changu tu katika kutafuta ushindi wa Chama.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.
Liko waziView attachment 3212307

Tundu Lissu ajizuie kuongea ongea sanaView attachment 3212307

LIssu ni mtu mzuri hata hivyoView attachment 3212307

Kwa sababu hiyo, Chama Cha Mapinduzi CCM lazima kijipange kuvurumushiwa hoja kali kali toka kwa hawa vinara wa Upinzani kuanzia sasa ndio maana watu kama akina David Kafulila, Hampfrey Polepole, Dkt Bashiru Ally Kakurwa wanahitajika Sana kwa Sasa.
Sijatumwa na Mtu ni kihere here changu tu katika kutafuta ushindi wa Chama.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.
Lissu hapendi machawa kama weweLissu ni janja janja sana naona hapo Kafulila alimbana kwenye Kona🤣🤣
Kafulila unafeli Lissu na wewe ni kitu kimojaView attachment 3212307
===
Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania walio wengi hasa wanaCCM wanatamani sana katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe ndio kampeni meneja wa Rais Samia ili kama chama tuweze kumnyoosha vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja, Kali Kali na data za Kafulila.
Kila mmoja anafahamu tangu Bungeni Lissu ni mtu mwenye akili na hoja sana mbaya zaidi wakati huu anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa wote ni watu wenye hoja Kali, Kali.
Kwa sababu hiyo, Chama Cha Mapinduzi CCM lazima kijipange kuvurumushiwa hoja kali kali toka kwa hawa vinara wa Upinzani kuanzia sasa ndio maana watu kama akina David Kafulila, Hampfrey Polepole, Dkt Bashiru Ally Kakurwa wanahitajika Sana kwa Sasa.
Sijatumwa na Mtu ni kihere here changu tu katika kutafuta ushindi wa Chama.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.
How?Kafulila unafeli Lissu na wewe ni kitu kimoja
Ngoja vijana wa Lissu wakujeView attachment 3212307

HahahaaView attachment 3212307