Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
Kafulila ni levels zingine kabisaYaah! Nakubalia nawe kwamba ana mambo mazuri, kwa maana ya "fikra za kimaendeleo", lakini sio kwa mfananisho huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila ni levels zingine kabisaYaah! Nakubalia nawe kwamba ana mambo mazuri, kwa maana ya "fikra za kimaendeleo", lakini sio kwa mfananisho huo.
Kwani Wassira ni WA chama gani?huyo tumbili saizi yake ni wasira.
Lissu huwa hasemi uongo kabisaView attachment 3212307
===
Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania walio wengi hasa wanaCCM wanatamani sana katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe ndio kampeni meneja wa Rais Samia ili kama chama tuweze kumnyoosha vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja, Kali Kali na data za Kafulila.
Kila mmoja anafahamu tangu Bungeni Lissu ni mtu mwenye akili na hoja sana mbaya zaidi wakati huu anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa wote ni watu wenye hoja Kali, Kali.
Kwa sababu hiyo, Chama Cha Mapinduzi CCM lazima kijipange kuvulumushiwa hoja kali kali toka kwa hawa vinara wa Upinzani kuanzia sasa ndio maana watu kama akina David Kafulila, Hampfrey Polepole, Dkt Bashiru Ally Kakurwa wanahitajika Sana kwa Sasa.
Sijatumwa na Mtu ni kihere here changu tu katika kutafuta ushindi wa Chama.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.
Ndio jukumu la mwana CCM hiloKafulila ni Mwana CCM lazima aitetee CCM yake wakati wote
Bado tunakutaka na WeweNi kweli kwa Kafulila Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana
chama chamambuzi,fisiemKwani Wassira ni WA chama gani?
angekuwa anajua siasa angepewa nafasi ya wasira au kwasababu yeye ni tumbili?Debe la nini? Jamaa anajua siasa na hiki ni kipawa kapewa na Mungu
Jamaa kichwa sanaKafulila ni levels zingine kabisa
Lissu janja janja sanaView attachment 3212307
===
Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania walio wengi hasa wanaCCM wanatamani sana katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe ndio kampeni meneja wa Rais Samia ili kama chama tuweze kumnyoosha vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja, Kali Kali na data za Kafulila.
Kila mmoja anafahamu tangu Bungeni Lissu ni mtu mwenye akili na hoja sana mbaya zaidi wakati huu anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa wote ni watu wenye hoja Kali, Kali.
Kwa sababu hiyo, Chama Cha Mapinduzi CCM lazima kijipange kuvulumushiwa hoja kali kali toka kwa hawa vinara wa Upinzani kuanzia sasa ndio maana watu kama akina David Kafulila, Hampfrey Polepole, Dkt Bashiru Ally Kakurwa wanahitajika Sana kwa Sasa.
Sijatumwa na Mtu ni kihere here changu tu katika kutafuta ushindi wa Chama.
Kidumu chama Cha Mapinduzi.
Kinajulikana hiliLissu janja janja sana
Nyota ipi hiyo?Naona mtu anataka kutembelea nyota ya TAL!
Very trueKafulila ni levels zingine kabisa
🤣🤣🤣View attachment 3212307