David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

Mbona hata kwa data za sasa za World Bank Tanzania inapitwa vibaya sana hata na jirani zetu Kenya tu?

Katika kipimo ambacho 1 ni "most business friendly" Kenya wana 56 na Tanzania wana 141.

In fact Rwanda imewaangusha hata Kenya kwa kuwa na score ya 38.

Hii nayo anaibishia bado?

Easy to do business nadhani Kafulila ndio alimaanisha
 
Wanamuita lissu mbarikiwa, haya ni maneno ya kiswahili, ambayo watu huyatengeneza na kukaa, kama ilivyo jiwe, mzee wa ruksa na vyote.
Lissu is nothing to discuss.
Wewe sio ccm.
Ccm wenyewe walishavuka maswala ya kudiscuss chadema.
Ccm is very huge. Usipoteze muda. Wakati ni jibu tosha. Wait for the ellection. Tayari kura yangu ni kwa ccm, hata awe raisi Makamba, ni kwa ccm. Ila kwa sasa. Kura yangu ni ccm under samia.
 
Easy to do business nadhani Kafulila ndio alimaanisha
 
View attachment 3212307
===
Kwa Mtazamo wangu Mtu pekee toka CCM anayeweza kumnyoosha vema Tundu Lissu kwa hoja mujarabu ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mitandaoni ni wazi Watanzania walio wengi wanatamani katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe kampeni meneja wa Rais Samia ili tumnyooshe vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja,

Lissu ni mtu mwenye akili sana na Leo anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa watu wote ni watu hatari sana kwenye hoja hivyo CCM lazima ijipange kuvulumushiwa hoja Kali kali kuanzia sasa hivyo watu kama akina Kafulila, Polepole, Dkt Bashiru wanahitaji Sasa.

Kidumu chama Cha Mapinduzi.

Hivi hijo akili ya TUMBILI anayosifiwa nayo ni kwa kitu gani alichokifanya?
 
View attachment 3212307
===
Kwa Mtazamo wangu Mtu pekee toka CCM anayeweza kumnyoosha vema Tundu Lissu kwa hoja mujarabu ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya mitandaoni ni wazi Watanzania walio wengi wanatamani katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe kampeni meneja wa Rais Samia ili tumnyooshe vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja,

Lissu ni mtu mwenye akili sana na Leo anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa watu wote ni watu hatari sana kwenye hoja hivyo CCM lazima ijipange kuvulumushiwa hoja Kali kali kuanzia sasa hivyo watu kama akina Kafulila, Polepole, Dkt Bashiru wanahitaji Sasa.

Kidumu chama Cha Mapinduzi.
Kafulila kwa sasa ni mtumishi wa serikali, si mtumishi wa CCM. Kafulila anapojibishana na wanasiasa anakiuka kanuni za ajira ya watumishi wa serikali.
 
Kafulila kwa sasa ni mtumishi wa serikali, si mtumishi wa CCM. Kafulila anapojibishana na wanasiasa anakiuka kanuni za ajira ya watumishi wa serikali.
Your correct, ipo haja yakupeleka shauri tume ya maadili ya watumishi wa umma, hatakama alitaka kukanusha hakupaswa kumtaja kwa jina
 
Sasa unataka kumfananisha Kafulila na nani hapo CHADEMA?
Mkuu, kweni huyo Kafulila si amepevukia hukuhku upinzani; Je alikuwa na cheo gani kikubwa? CHADEMA ndicho kinacho tengeneza vijana na hatimae kuvinufaisha vyama vingine.
 
Mkuu, kweni huyo Kafulila si amepevukia hukuhku upinzani; Je alikuwa na cheo gani kikubwa? CHADEMA ndicho kinacho tengeneza vijana na hatimae kuvinufaisha vyama vingine.
Ni Kweli na Kafulila ni levels za hao akina Lissu
 
View attachment 3212307
===
Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila,

Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni ni wazi Watanzania walio wengi hasa wanaCCM wanatamani katika Uchaguzi Mkuu Ujao Kafulila awe kampeni meneja wa Rais Samia ili tuweze kumnyoosha vizuri huyu Tundu Lissu na CHADEMA yake kwa hoja,

Kila mmoja anafahamu Lissu ni mtu mwenye akili sana na Leo anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa watu wote ni watu hatari sana kwenye hoja hivyo CCM lazima ijipange kuvulumushiwa hoja Kali kali kuanzia sasa hivyo watu kama akina Kafulila, Polepole, Dkt Bashiru wanahitaji Sasa Kwa Sasa.

Sijatumwa ni kihere here changu tu

Kidumu chama Cha Mapinduzi.
yaani lissu asumbuliwe na tumbili,utakuwa umebanwa na haja kubwa wewe
 
Back
Top Bottom