David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Anabubujikwa na machozi muda huu.Luca ni hopeless material fulani hivi.
Roho zinawauma sana CHADEMA kwa kuona kichwa hiki hakipo kwenu na ninyi kubakia na vichwa visivyoweza kuwaza wala kuwa na mipango hata ya siku moja tu mbele.mmebakia watu wa kurukia na kudandia matukio tu.
 
Mzalendo wa tumbo
 
Pipa na funiko
 
Roho zinawauma sana CHADEMA kwa kuona kichwa hiki hakipo kwenu na ninyi kubakia na vichwa visivyoweza kuwaza wala kuwa na mipango hata ya siku moja tu mbele.mmebakia watu wa kurukia na kudandia matukio tu.
Hapa hakuna uchama.Huyo unayesema ni hazina,hamna kitu.Snitch fulani mnayetaka kufanana tu.Mambo ya chama peleka kijijini kwenu.
 
Huyu ni zaidi ya hazina,
Jamaa ni mpole na mnyenyekevu sana wa moyo.
Ila anachukia wizi na Ufisadi haijawahi kutokea duniani.
Kwahiyo tumekubaliana kuwa ile jina la Tumbili wana ccm mmeliondoa na sasa ni binadamu?
 
Unaonaje ukawa mkewe wa pili?
Hizo ndio akili zenu za CHADEMA na zilizojaa ndani ya CHADEMA na ndio maana chama kinaendelea kuserereka kuelekea shimoni kila uchwao na kuendelea kupuuzwa na watanzania.
 
Hapa hakuna uchama.Huyo unayesema ni hazina,hamna kitu.Snitch fulani mnayetaka kufanana tu.Mambo ya chama peleka kijijini kwenu.
Mnaumia sana CHADEMA .ninyi endeleeni kupambana na hali zenu na akili mgando mlizonazo huko huko.zisizo weza kukipeleka chama popote pale zaidi ya kukitumbukiza shimoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…