David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Mnaumia sana CHADEMA .ninyi endeleeni kupambana na hali zenu na akili mgando mlizonazo huko huko.zisizo weza kukipeleka chama popote pale zaidi ya kukitumbukiza shimoni.
Nakusisitiza.Usidhani kila anayekupinga ujinga wako ni mwanachama wa "NLD"!Pambanua mambo wewe mlima njegere.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
What difference is he going to make in pool full corrupt and filthy individuals...

CCM !? Kuna Nini kipya
Kwa hiyo wewe shida yako ni kutaka kuona na kufahamu nini anavyokwenda kubadilisha? Basi napenda kukwambia ya kuwa Kafulila mmoja tu ni hazina kubwa kwa Taifa na mwenye uwezo wa kuleta mageuzi makubwa sana ya kisera. Angalia rekodi zake kwote alikopita kutumikia Taifa letu kuanzia akiwa RAS Songwe,RC Simiyu na Sasa Mkurugenzi mkuu PPP. Ni mtu aliyeacha alama katika kila eneo. Mfano kule Simiyu alipambana mpaka kufikia kuona pamba ikiuzwa kwa bei ya 2200 kwa kilo bei ambayo haijawahi kuwepo katika Historia ya Taifa letu tokea lipate uhuru.
 
Yeye ndie sio...ndo wa kwanza...huko CCM!?

Kaeni kimya. Mnatia aibu.
 
Kafulila ni mtu mzuri nakubaliana na wewe Lucas Mwashambwa
 
Nakusisitiza.Usidhani kila anayekupinga ujinga wako ni mwanachama wa "NLD"!Pambanua mambo wewe mlima njegere.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hoja zimepambanuliwa vyema kabisa labda kama umeamka na kimiminika kichwani mwako ndio unaweza usielewe kitu.
 
Mnalipwa...
Shame
Yeah, We paid to defend our future country regardless what.
Hata wewe tukigundua unachukia rushwa kwa moyo na nafsi yako toka ndani ya roho yako tutakuunga mkono tu
 
Sio hazina tu ni Lulu.
Kama Taifa lazima tuwaecourage watu wanaosacrifice maisha kwaajili ya watu sio mtu akifa ndio ooooh ooohhh stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…