David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

Msaliti ni msaliti hata awe malaika hafai.
Anafika bei!
 
Acha kudharau Kilimo wewe mbulukenge hakuna kazi nzuri kama Kilimo
Kawaambie wabunge na mawaziri wako wakalime kama kilimo ni kizuri.Unajisifia shida?Uliwahi kuona mtu analima kwa madaha au kwa kuringa na hatokwi jasho?
 
Msaliti ni msaliti hata awe malaika hafai.
Anafika bei!
Msaliti ni yule aliyeweka kwenye Katiba kwamba mwanachama anaweza kuhama toka CHAMA A kwenda CHAMA B.
Niujinga tu wa wanachadema kuwa na uadui na mtu aliyekihama chama chao.

Yaani Tusione Uzalendo wa mtu kukataa zaidi ya 2bl tuone eti shida kuhama chama tena kikatiba,
Taifa hili limeanza kupevuka mambo ya vyama Peleka kwa Msajili sisi tunataka watetezi wa Taifa tuwajue kwa majina na sura zao.

Hivi wewe ungekataa kweli 2bl? Miaka 10 iliyopita?

Tuache upumbafu wa akili

Ova.
 
Hizo tsh.2bln uliziona anavyotaka kupewa?Au mnaanzisha tu vistori vya kuchomea mihogo?
 
Ila Kuna kaukweli kidogo.

Sisi SIMIYU wakati Kafulila yupo Pamba tuliuza kwa tsh 2,000

Leo Tunauza kwa tsh 1,000,

Sijui Sasa nyie mnaosema Kafulila ni mbaya.
 
Ila Kuna kaukweli kidogo.

Sisi SIMIYU wakati Kafulila yupo Pamba tuliuza kwa tsh 2,000

Leo Tunauza kwa tsh 1,000,

Sijui Sasa nyie mnaosema Kafulila ni mbaya.
Kuna watu bado hawamwelewi Kafulila kabisa
 
Ila Kuna kaukweli kidogo.

Sisi SIMIYU wakati Kafulila yupo Pamba tuliuza kwa tsh 2,000

Leo Tunauza kwa tsh 1,000,

Sijui Sasa nyie mnaosema Kafulila ni mbaya.
Kafulila ni jembe kwelikweli na mwenye uchungu na maisha ya watu.
 
Mimi ata Kafulila simjui kwa maana ya mawasiliano ila nilikuwa nafuatilia mtanange ule na magazeti yaliandika dau lilotolewa kumnyamazisha
Jamaa ni mzalendo sana na alikataa pesa ndefu sana ambayo kama angekubali kuichukua basi angekuwa tajiri mpaka kesho.lakini kwa uzalendo wake alikataa kabisa kuchukua na kupokea pesa chafu kwa ajili ya kuwauza watanzania walipa kodi.
 
Yes halafu wale wanaotupiga ndio watu wanawapongeza kwa kuwa wapigaji Mataji,

Shame on you Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…