David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Tuweke mwanamke kila taasisi. Tutatoboa.
 
Sasa kama Taasisi zinazoongozwa na wamama na wadada zinafanya mara 10 zaidi ya zinazo ongozwa na wanaume, yeye hapo PPP anafanya nini , si angewapisha wenye kufanya vizuri zaidi au yeye nu miongoni mwao tusijali mavazi yake
 
Huo ni utafiti ndg yangu
 
Sasa mbona yeye aliachana na mkewe? Saivi anaishije??
Atuambie ya hapakwetu kampuni gani za wanawake zinaongoza Kwa ufanisi??
Huyu aliitwa tu2 saivi kawa/ wanamwita chawa watu wakigoma bana🤣 kajiunga nakina mwijako
 
Ripoti ya utafiti inakuwaje ya mtu binafsi au sijakuelewa?
Inatakiwa iwe ya umma, sasa kuna mtu alinijibu kuwa anachoongelea Kafu kutokana na utafiti, ndio nauliza kama hiyo ripoti ipo wapi na Mimi nithibitishe hiyo ya kusema ke wapo na tija kuliko me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…