David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

Naomba nicheke kwanza kabla sijachangia
 
Sasa hata kama data ni za mchongo Sasa tutafanyaje?
Kila kitu nchi hii kimefanywa SIASA
Hii inatokana na mfumo wa uongozi ambapo viongozi wa taasisi nyeti karibu zote hutteuliwa na kiongozi mkuu.
 
Kila kitu nchi hii kimefanywa SIASA
Hii inatokana na mfumo wa uongozi ambapo viongozi wa taasisi nyeti karibu zote hutteuliwa na kiongozi mkuu.
Siasa ndio kila kitu hata hivyo
 
Sawa ila kifupi Mikopo haiepukiki
Anaelipa hiyo mikopo ni mwananchi wa kawaida ambaye hashirikishwi kwenye kupanga kuhusu hiyo mkopo kwa maana serikali inachojua ni kupoteza muda mwingi na pesa nyingi kutengeneza miongozo na tozo

Government spend a lot of time and money to create regulations and rate settings without involving steak holders and citizens the end results things do not work in a positive way
 
Kuna wakati data zilichongwa km wakati wa Magu? Huyu mama hana huo muda alishamwambiaga CAG asifiche kitu chochote. Uongozi ni karama siyo kubweka sana
Sasa hivi pesa za kuhonga wakaguzi zipo..kama unafanya kazi Halmashauri utajua hili,yaani kupata hati chafu sasa hivi DED atakuwa mjinga hajui kutoa pesa au hiyo query ni kubwa sana,kipindi cha Magu DED waliokuwa wanaogopa hata kutoa hongo maana hawakujua mzee ataibukaje
 
Samia bila akina Kafulila ni mweupe sana, huyu Muha anapambana sana ila mama hana time nae kabisaw
 
Mind you this is a political science my friends, mambo ni mengi muda mchache kufikia uchaguzi oct, 2025, bado data zingine zinakuja
 
Lakini kwa hali ilivyo rushwa Iko juu sana hawa maDED watakuwa wanawahonga watu wa CAG ili kupata hati safi hili linawezekana kabisa
 
Wewe ni chawa tu hata iweje
 
Kafulila hapingiki
 
Kumbe Rais Samia kamzidi kwa mbali sana Rais Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…