peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Hii ndio nini mkuu?Kafulila: Ujenzi wa Barabara ya Kulipia (Toll Road) Kibaha-Morogoro kuanza Mwezi wa Februari 2024
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari Kwa kuanza Ujenzi mwezi February 2024. Aidha hapo baadae ujenzi huo unatarajia kufika Dodoma. ===...www.jamiiforums.com
Utapeli wa Tumbili! Hiyo barabara uliwahi kuiona imejengwa!Hii ndio nini mkuu?
Na nani? Acha uoga kijanaKuna muda tunatafutiwa matatizo kwa ulazima tu.
Kila kibaya kapewa kwanini vizuri asipewe pia?Nahuzunika unapomtwisha mama yetu kazi isiyoyake;kwani Rais ni afisa masuhuri? Kuwa na hati safi hakumanishi moja kwa moja kwamba watu hawajapiga hasa kunapokuwepo udhibiti hafifu wa ndani.Mkaguzi wa ndani ndiye anayeweza kuona upigaji lakini hawadhaminiwi na viongozi
Angalia usije kupigwa ngumi ya kisogo89-99% kumbe Magu hakuwa lolote
😂😂 mwaka huu labdaUtapeli wa Tumbili! Hiyo barabara uliwahi kuiona imejengwa!
Sasa PPP Ndio inahitaji maswala ya kujulishana😂😂 mwaka huu labda
Sawa==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla,
Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake hiki kifupi na kwa mujibu wa ripoti ya CAG ameongeza zaidi hati safi kutoka hati safi 800 za wakati wa Hayati Dkt John John Magufuli hadi hati safi 1,295 za sasa wakati wa Dkt Samia.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea kwa kusema vilevile Dkt Samia Suluhu Hassan amepunguza hati chafu kutoka hati chafu 10 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli hadi hati chafu moja (1 ) ya wakati huu wa Dkt Samia.
Wakati hati zenye mashaka nazo zikipungua kutoka hati zenye mashaka 81 za Wakati wa Hayati Dkt Magufuli mpaka hati zenye mashaka 5 za Wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Kwa matokeo haya na Kwakuwa namba hazidanganyi basi huenda Rais Samia hapigi sana kelele kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ila yeye Sasa anatenda kazi zake kupitia kalamu kimya kimya kama alivyowahi kukaririwa na vyombo vya habari wakati flani.
==
==
Ni kweli
Amesoma theory, bado anatumia theory.
Mwambieni huyu kijana duniani watu wanaishi na real sense sio imagination, asichokijua na wenzie Kuna kitu duniani pia kinaitwa "under world" inawezekana JK hawaambiii hawa ndugu zake huko CCM labda his successor Riz.
Huwezi ukatoka Kigoma na kusoma SAUT ukayajua haya mambo ya Dunia angekuwa walau anaweza kuongea na ZZK angejifunza kitu huyu kijana.sko kweli
Mumpe huyu kijana tour walau za NYSE na pale LSE au mitaa ya Manhattan anaweza kuelewa Dunia ni nini, mumlete hata pale Monaco kwenye yatch show aone Dunia ni nini...tired with this amateur boys..
Unataka afanye Practical kwenye Nini mkuu?Amesoma theory, bado anatumia theory.
Mwambieni huyu kijana duniani watu wanaishi na real sense sio imagination, asichokijua na wenzie Kuna kitu duniani pia kinaitwa "under world" inawezekana JK hawaambiii hawa ndugu zake huko CCM labda his successor Riz.
Huwezi ukatoka Kigoma na kusoma SAUT ukayajua haya mambo ya Dunia angekuwa walau anaweza kuongea na ZZK angejifunza kitu huyu kijana.
Mumpe huyu kijana tour walau za NYSE na pale LSE au mitaa ya Manhattan anaweza kuelewa Dunia ni nini, mumlete hata pale Monaco kwenye yatch show aone Dunia ni nini...tired with this amateur boys..