Ww sindo unadhinda humu ukiwananga wapalestina wanao pigania taifa lao kuwa ni magaidi?Hujui unaloandika; wewe ni mfuata propaganda tu. Huwezi kusema mwenzio ambaye ni kiongozi wa nchi iliyovamiwa na anajitahid kupigania nchi yake ukasema eti ni kibaraka. Unajua aliingiaje madarakani mpaka kuwa rais wa Ukraine? Ukraine siyo Urusi ambayeo Rais wake ni mtu mmoja tu, Ukraine kila baada ya miaka mitano inafanya uchaguzi na rais anaweza kuwa mtu yeyote yule.
Pumbafu kabisa; leta post yangu moja inayohusu Palestina ili uonekane kweli kuwa unaandika mantiki. Achikilia mbali kushinda hapa, wewe leta post moja tu.Ww sindo unadhinda humu ukiwananga wapalestina wanao pigania taifa lao kuwa ni magaidi?
Acha unonko.
HakikaHujui unaloandika; wewe ni mfuata propaganda tu. Huwezi kusema mwenzio ambaye ni kiongozi wa nchi iliyovamiwa na anajitahid kupigania nchi yake ukasema eti ni kibaraka. Unajua aliingiaje madarakani mpaka kuwa rais wa Ukraine? Ukraine siyo Urusi ambayeo Rais wake ni mtu mmoja tu, Ukraine kila baada ya miaka mitano inafanya uchaguzi na rais anaweza kuwa mtu yeyote yule.
Hamas kuwapiga Israel na kuipigania Palestine ni sahihi ?Wewe ndiye mjinga iwapo unadhani mtu kupigania nchi yake ni ujinga. Yaani kama wewe ungekuwa mtoto wa kiume basi jamaa linaweza kuingia nyumbani kwako likalala na mke wako kwenye kitanda chako halafu wewe ukajikunja sebuleni kwa kujiona huna nguvu huwezi kujitutumua.
Mda utaongeaAishie hukohuko asikanyage hapa kwetu.
Una akili ndogo sana bila shaka. Ungekuwa na uelewa mkubwa juu ya huo mgogoro, usingeandika haya matapishi yako hapa.Wewe ndiye mjinga iwapo unadhani mtu kupigania nchi yake ni ujinga. Yaani kama wewe ungekuwa mtoto wa kiume basi jamaa linaweza kuingia nyumbani kwako likalala na mke wako kwenye kitanda chako halafu wewe ukajikunja sebuleni kwa kujiona huna nguvu huwezi kujitutumua.
Watu wenye akili fupi ni rahisi sana kuwagundua. Eti analeta habari ya mke, sijui umekaa sebuleni! Huku akiwa hajui chochote kuhusu historia ya hilo eneo na pia chokochoko zisizoisha za Marekani dhidi ya Urusi.Unatumia mfano wa mke kutaka kujustify usichokijua...? Tafuta maarifa kwanza sio stories za vijiweni
Soma kwanza historia ya hilo eneo ili ufahamu sababu hada za Urusi kuivamia hiyo Ukraine. Acha uvivu.Ebu tueleze ujinga wake.
Jiulize swali dogo tu, vita sasa ina muda gani, je Russia wameweza kuipindua Kyiv?Kajinga sana haka kajamaa. Nguvu hakana, halafu kanaamua kujitutumua! Ona sasa kanavyo hangaika huku na kule kutafuta msaada!
Mabeberu wenyewe aliokuwa anawategemea, wote wanapumulia mashine! Kutokana na ujinga wake, kamesababisha bei ya vyakula na mafuta kupanda maradufu!! Hopeless kabisa.
Acha uvivu wa kushindwa kutetea hoja yako. Kama huwezi si ukae kimya tu?Soma kwanza historia ya hilo eneo ili ufahamu sababu hada za Urusi kuivamia hiyo Ukraine. Acha uvivu.
Fuata ushauri wangu. Huwa sipendi watu wenye gubu.Acha uvivu wa kushindwa kutetea hoja yako. Kama huwezi si ukae kimya tu?
Ungejiuliza mwenyewe hilo swali, ingekusaidia zaidi.Jiulize swali dogo tu, vita sasa ina muda gani, je Russia wameweza kuipindua Kyiv?
Zelensky ni kiboko sana, nchi yake haikuwa maarufu kwenye medani za kivita lakini kafanikiwa kumtuliza mrusi ambaye tukiambiwa ni superpower wa dunia ukitoa US., hadi kesho Mrusi anaishia kuangusha nyumba za raia tu kwa kutumia long range missiles lakini ameshindwa kutia kwato zake Kyiv, sasa mwaka wa pili umeisha.Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame
President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
mlimpovamia mkashangilia acha na nyie awaletee majangaTunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame
President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
hata Tp mnaomba msaada unanini cha kumleta huyo ?Aishie hukohuko asikanyage hapa kwetu.
Nashkuru kwamba hukuwa na hoja, Zelensky aheshimiweUngejiuliza mwenyewe hilo swali, ingekusaidia zaidi.
Urusi anavyoangaika ni sawa ila Zele ndo hatakiw kutafuta marafiki , umaskin wenu huu mnataka muwekee kila mtu kichwan mwake , wenzenu wanaamka nyie mnang'ang'ania mashukaKajinga sana haka kajamaa. Nguvu hakana, halafu kanaamua kujitutumua! Ona sasa kanavyo hangaika huku na kule kutafuta msaada!
Mabeberu wenyewe aliokuwa anawategemea, wote wanapumulia mashine! Kutokana na ujinga wake, kamesababisha bei ya vyakula na mafuta kupanda maradufu!! Hopeless kabisa.
tumia akili zako vzr basNow they are talking about resolving the conflict after funds are drying out...
hv kichwan upo timamu ? unahisi huyo ni Sa100 sukar kilo 5000 na hampigani na mtu ila akili yako ipo busy kumnanga anaewapambania wananchi wakeAtafilisi dunia kwa vita yake na Mrusi, kazi yake ni kuranda na njia kuomba tu misaada, kama misaada ya Wazungu haijatosha itatosha ya Mwafrika?
Ulivyoandika hapa, kuna mtu anaweza kufikiri sisi wote humu wanaishi kwa wazazi kama ulivyo wewe.Urusi anavyoangaika ni sawa ila Zele ndo hatakiw kutafuta marafiki , umaskin wenu huu mnataka muwekee kila mtu kichwan mwake , wenzenu wanaamka nyie mnang'ang'ania mashuka
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app