DAVOS, Switzerland: Rais wa Ukraine Zelensky akutana na kufanya mazungumzo na Rais Kagame wa Rwanda

Rwanda ya sasa ina uwezo wa kutumia teknolojia zaidi kwenye migogoro kuliko kutia vikosi ardhini.

Ila PK yupo Davos kibiashara na kiuchumi zaidi.

Maglobalists wamependa mindset yake.
Kwa upande huo yuko vizuri
Ntapita Kigali hata siku 3 this year nikashuhudie mwenyewe
 
Kwa upande huo yuko vizuri
Ntapita Kigali hata siku 3 this year nikashuhudie mwenyewe
Kwenye nchi zinoendelea, wazungu hupenda watu wenye akili na ambao wapo tayari kuwasikiliza hata kama ni madikteta.

Ila madikteta hao wawe tayari kula na kipofu na wasikaze shingo.

PK amekuwa akiongea mambo mengoi ya kuwakosoa mabeberu akitumia (very careful wording) lakini bado wanae kwa sababu wana maslahi nae.

Tusisahau huko jirani kuna malighafi za kutengeneza magari ya Tesla, simu za mikononi, laptops na vifaa vingine vingi sana vinohitajika huko Ulaya na Marekani.

Malighafi ipo huko na bado itaendelea kuwepo hivyo, kwahitajika "stability and assurances" kutoka kwa watu kama PK.

Na yeye pia atumia furasa hiyo kuwekeza ndani ya nchi yake kiuchumi, kiutalii (karuhusu viza bure kwa waafrika), kiteknolojia na kijeshi.
 
Ila waafrika mpaka kuja kuamka itachukua miaka mingi sana au hakuna kabisa kuamka
Duniani sawa ule na kipofu lakini wananchi wanapata kila kitu kama wenzetu wenye mafuta wa ME
Ila ndio hivyo tena
 
Ila waafrika mpaka kuja kuamka itachukua miaka mingi sana au hakuna kabisa kuamka
Duniani sawa ule na kipofu lakini wananchi wanapata kila kitu kama wenzetu wenye mafuta wa ME
Ila ndio hivyo tena
Kwa mfano ni wazi kuwa CCM imeamua kujizatiti ili kuitawala Tanzania milele bila kupingwa.

Lakini CCM wana "responsibility" kuhakiksha wananchi ambao ndo wapiga kura na waajiri wao maisha yao yaboreshwa na uchumi wanufaisha nchi nzima.

Kuna maamuzi serikali yafanya huitaji scrutiny bungeni lakini kwa kuwa Bunge letu lina udhaifu fulani serikali yatumia mwanya huo kuamua masuala mazito ambayo huko mbele yataliingiza taifa gharama kubwa.

Vitendo vya rushwa, kickbacks, na matumizi mabaya ya madaraka na fedha yapo Ulaya na Marekani ingawa ni kwa kiwango kidogo.

Lakini hakuna kitu kibaya kama kutumia vibaya madaraka na fedha za umma kwa manufaa binafsi.

Fedha zote za umma zapaswa kwenda kwa matumizi ya umma na si vinginevyo.
 
Mkuu, nimekuelewa sana hapo kuhusu Ulaya na nchi zilizoendelea
Mimi nina zaidi ya miaka 30 🇬🇧 huwezi kuona rushwa kwa macho au kuulizwa na kama kuna kubebana kwenye miradi na tenda kupo ila hela za miradi kwa sisi viongozi waliopewa majukumu wamakula 80% na 20 tu ndio itapelekwa kwenye miradi au labda zaidi
Ila wenzetu naona miradi inakamilika kwa 90% kihalali na 10 wale wao
Chama na viongozi tumeona wanavyouza mpaka open spaces au masoko bila kujali mwananchi
 
Empty head. 🚮
 
🚮
 
Sheria, haki na kuwajibika kwa wenzetu hivi vitu ni muhimu sana.

Wakati wa Covid kuna mama mmoja alitumika kulobby mikataba ya kusambaza vifaa vinohusiana na covid katika mahospitali na vituo vya afya lakini walopewa tender hizo ni ndugu zao na marafiki.

Yule mama kaambiwa arudishe pesa zote alozipata kwa njia hiyo na nyingi ni zile za bonus kama nusu milioni hivi.

Sasa hivi hapo UK pana scandal ya kampuni ya Posta ambayo iliweka IT system ya mchongo ikawa yaonyesha errors na discrepancies kwenye matawi ya posta na kufanya mameneja wake waonekane wameiba fedha.

Hivyo Post Office wamepatikana na watawalipa watu hao kwanza kifuta jasho kama pauni 75,000 hivi kila mtu, kisha watawalipa kitita kama 650K hivi kwa wale wenye "straight forward cases".

Na kuna uwezekano mabosi wa Post Office wakapelekwa mahakamani.

Hivyo sheria, haki na uwajibikaji ni msumeno sana huko kwa wenzetu.
 
Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame

President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict


Comedian president, Zelensky very arrogant ever, yaani US wanamdanganya, kaingiza nchi yake katika vita na kuua kabisa nchi nzuri ya Ukraine, sbb ya ujinga tu wake, leo ana hangaika na kujuta hakuna wa kumsaidia, hata ndevu kunyoa tu hana muda na hawezi sbb ya shida aliyoleta ya Vita Ukraine, yaani kulikuwa hakuna sbb ya vita hii ya Ukraine kabisa, ila sbb huyu ni Bongolala ndio kaingizwa mjini na US, inaumiza sana kaua nchi nzuri kabisa Ukraine, leo Ukraine ni magofu sbb ya huyu mtu anaitwa Zelensky, hafai kabisa kuwa hata mwenyekiti wa mtaa huyu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si business 😃😃😃😃anachukua banyamulenge afu tatu anapokea kitika kutoka kwa dona kantri anakuja kuvimba ist africa kwa kuipendezesha kigali...simpo 😂😂😂
Hizi pesa hizi, ipo wazi hao askari inajulikana watachinjwa, Russia si mchezo mzee.
 
Your exempla gratia is contrary to the scenario as long as ubi fumus ibi ignis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…